Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ipo live on ESPN sasa hivi.
Ebana hivi vitoto ni kiboko! Vinanifanya mtu mzima nijione sijui kitu kabisa katika medani za tahajia na msamiati wa Kiingereza.
Nani mwingine anafuatilia?