Tangu Lakers imefulia nimekuwa mvivu sana kufatilia huu mchezo,karata yangu imehamia kwa OKC
Kwa jinsi timu ya OKC ilivyokamilika, yeye ataendelea kusugua benchi tu!.Naona kijana wetu Hashim Thabeet anaendeleza usuguaji wa benchi.....yeye kazi yake sasa ni kushangilia tu....duuuhh
Kwa wale wapenzi wa huu mchezo....tupashane habari hapa kwa kadiri series zinavyoendelea....
Nyani Ngabu ....jana nimeona vijana wako wamewazima Indiana.........leo Mzee mandevu Harden katoka hoi kwa kijana Lillard D.
Ab-Titchaz .....Mkuu usitusahahu mapichaz......
Kwa jinsi timu ya OKC ilivyokamilika, yeye ataendelea kusugua benchi tu!.