2014 NBA Finals...updates

2014 NBA Finals...updates

inaelekea una hatred tu na L James...mpe haki yake tafdhali,....jamaa ana bahati mbaya tu ya kutpondwa hii sijui kwanini.....labda inawezekana kabisa ni ile sababu anayoisema AL SHARPTON i.e. tabia ya "short cuts".....hivi umeangalia stats za jamaa kwenye michezo yote ya hii fainali?....je umeangalia stats za jamaa wakati wa playoffs..

...LJ ni best kwa wakati huu.......ila nilishasema ni uwendawazimu kumlinganisha na MJ kiuwezo......kwa kumlinganisha LJ na wachezaji wengine wawapo uwanjani ukiondoa Kobe...yeye ni the Best kwa sasa.....period!......acheni chuki zisizo na msingi.......
Una Point tumuache James apumue pia na Coach anachangia hajui ku push team Tizama Phil au Papa au Enzi zake Pat Riley Mie Naomba kuuliza Why NBA timu ikishinda wanasema World Championship? Sababu Toronto nayo ipo au sababu Soccer EPL timu za Wales zipo ila hawasemi Worldchampion kwanini NBA wao wanasema World Championship anayejuwa anipe elimu sababu hata Europe,Africa ligi za Basketball zipo.
 
inaelekea una hatred tu na L James...mpe haki yake tafdhali,....jamaa ana bahati mbaya tu ya kutpondwa hii sijui kwanini.....labda inawezekana kabisa ni ile sababu anayoisema AL SHARPTON i.e. tabia ya "short cuts".....hivi umeangalia stats za jamaa kwenye michezo yote ya hii fainali?....je umeangalia stats za jamaa wakati wa playoffs..

...LJ ni best kwa wakati huu.......ila nilishasema ni uwendawazimu kumlinganisha na MJ kiuwezo......kwa kumlinganisha LJ na wachezaji wengine wawapo uwanjani ukiondoa Kobe...yeye ni the Best kwa sasa.....period!......acheni chuki zisizo na msingi.......
Look at all NBA superstars. They played for the same team, same fans and the same towns. They never took shortcuts like LeBron.
Jordan, Magic, Larry Bird, Kobe you name them!
This dude called himself "King" switch teams to join other stars to form a basketball cartel, that's a mere shortcut. Period.
Carmello is next.
Jordan once saisd "I didn't want join Magic or Bird, in fact I wanted to beat them"
Nobody hates LeBron, he's the best player right now. People question his desire for taking shortcuts in life.
Shortcut is not a legitimate way of winning championships especially when you are under the Michael Jordan's shadow
 
James will opt out of his deal with the HEAT!!! another shortcut i guess
 
nafikiri kafanya hivi kusudi sababu Melo naye opt Out ila Melo harudi Knicks so mpaka hapo James haendi Knicks ila anaweza Kubaki Lakers Kama wanaouwezo wa Pesa wamtoe Nash na wengine watapata Lebron na Melo kwa Pamoja ila mpaka sasa Lakers haina uwezo wakuwa pata wote labda Melo ila Lebron James nafikiri ndio atayejitengenezea timu kuliko Melo ndio kawaida ya Lebron Chicago ili aitwe Jordan zaidi au atabaki Miami Heat? Tunajiuliza au Clippers watampaisha Griffin ili Chris Paul awe na Lebron Kama namuona Lebron atapotaka kwenda sehemu ambayo yeye ndio Kiongozi so sioni kucheza na Kobe Bryant.
 
James will opt out of his deal with the HEAT!!! another shortcut i guess

Haya LeBron huyoo anarudi zake Cleveland Cavaliers, tuone HEAT wata
survive vipi without their star man
 
Kijana anarudi nyumbani,nakumbuka alivyohama walimtukana sana na Mmilikk wa Caveliers alisema watachukua ring kabla Lebron hajachukua.I think amefanya uamuzi mzuri
 
Lebron James sikutegemea atarudi Kwao sababu ni katika watu ambao nimemchukulia jamaa anajitengenezea timu ila Heshima kubwa nimempa Huyu jamaa kurudi kwao Ohio. Lebron james sasa hivi atakuwa kaifikiria familia yake zaidi na watu wanavyomchukia bora kaona wamchukie wakati anachezea timu ya kwao kwa moyo mmoja wa mapenzi ya roho, timu nyingi sasa hivi NBA zinahangaika ila Spurs wametulia tuli Hawana papara, Lakers naipenda na Jeremy Lin PG Mzuri ila sioni Lakers kuja kufanya vizuri.
 
Kwa hiyo wale wapenzi waliohamia Miami heat kwa sababu ya LeBron James watamfuata Cleveland ? Basketball ni kati ya michezo michache isiyo na Loyal fans. Nawakaribisha 76ers next two seasons tutakapokuwa juu. LeBron katimiza lengo lake,inaelekea hakutaka kuwa kati ya mamegastar kama kina Iverson, Karl Malone etc walioshindwa kubeba NBA rings. Jamaa ni users and abuser kaitumia Miami heat afu dumped them
 
Lakers wamepotea nadhani labda wamrudishe Phili Jackson na watafute wachezaji wazuri kama 3 hivi.
 
Kwa hiyo wale wapenzi waliohamia Miami heat kwa sababu ya LeBron James watamfuata Cleveland ? Basketball ni kati ya michezo michache isiyo na Loyal fans. Nawakaribisha 76ers next two seasons tutakapokuwa juu. LeBron katimiza lengo lake,inaelekea hakutaka kuwa kati ya mamegastar kama kina Iverson, Karl Malone etc walioshindwa kubeba NBA rings. Jamaa ni users and abuser kaitumia Miami heat afu dumped them
Siku hizi mkuu Pesa haina adabu hutokuja kuona tena Players kwenye team star anakaa miaka 5 Kama football kwenye soka ndio mashabiki tumekuwa roho ngumu na timu zetu ila Players mshiko tu siku hizi, wengine ili aonekane na ring watatafutana waunde timu soon Durant uvumilivu utmshindwa.
 
Durant na Westbrook tutawasikia wapo LA,Chi-town kama sio NY misimu si mingi. Durant kila siku analalamika amechoka kuwa namba 2, hii itakuwa motivation mojawapo ya kukimbia porini OKC
 
Mazee hivi umegundua kuwa wins zote za Spurs ni blowout?

Game ya kwanza walishinda kwa points 15....game ya pili wakashindwa kwa points mbili (la sivyo Heat wangekuwa swept)....game ya tatu wakashinda kwa points 19.....na game ya nne wakashinda kwa points 21!

Kuna pattern hapo mazee.....

Raimundo hebu njoo huku ujikumbushie kidogo maana naona umesahau.

Halafu mazee, wewe ni mshabiki wa Cleveland Cavaliers au LeBron James?

Manake LeBron alipokuwa El Heat wewe ulikuwa unashabikia El Heat ilhali wengine tumekuwa consistent.

Sasa kwa vile unawataka Spurs kwenye fainali mimi nimeonelea bora nikukumbushe kidogo jinsi mambo yalivokuwa mara ya mwisho timu ya LeBron ilipokutana na Spurs kwenye fainali.

Hivi kweli kabisa hao ndo unawataka? Hahahahaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom