One up!
Heat couldn't handle the 'heat'
Teh teh teh!
Pamoja na mengine yote....hii gemu jamaa asingeumia......Miami walikuwa wanashinda hii gemu.........LeBron IS THE BEST!...PERIOD!
its just game 1 brother!
Na me nilikua nakuamsha tu brother
haya bro tukutane game 2 jpili.
Nimepitia tu....mmmh!...leo kitumbua kimeingia mchanga aisee...khaaa!
Tunasubiri picha
tulishasema kuhusu Danny Green na 3 zake zilikuwa muda muafaka nyavu tu zilikuwa zinalia Shwiiiii! Shwiiiii! Miami Heat wame Feel The heat wote wamecheza uwanja huo huo wa Joto so malalamiko yapungue, Spurs watengeneze AC Kabla hajaanguka mtu, Kama kawaida Humu Pic zimechelewa mpaka ziombwe wangeshinda Miami Heat Picha zingekuwepo kurasa mzima za Miami Heat watu Dunk mara Tatu ila a Spurs tutaambiwa nilikuwa na Shemeji yenu kidogo! Manu kanifurahisha ila Danny Green alikuwa kashaanza kuniuzi ila Kama kawaida watu wa 3 Wana time zao zikifika utalia Texas is Hot make it 2-0.Tupo tunasubiri kuona Tatu za Danny Green Naomba Parker awe kamili Kibulibuli kitapenya tu cha ufaransa Kaka yake Duncan mzee wa Basic Basketball namuaminia Manu ndio anatakiwa kunyayua game yake Papa Leo anawatoa wanawe vizuri wanaijua NBA Finals juu chini Haitaji Cheerleader Bench.
Ab-Titchaz pole ndio ukubwa ila kwako ushabiki weka pembeni wewe ndio mrusha pic wetu tuna kutegemea so rusha inavyotakiwa sio upendeleo weka Ray Allen a Dunk hehe , Danny Green 3 au Tatu ya Tooooniiii Parker(French Accent) ile Kule kona aliyepiga kuwe Kama Movie Highlight hivi ya Pic tunapenda tukiona umechangamka hatupendi tukikuona unafanya kitu Shingo upande.Nimepitia tu....mmmh!...leo kitumbua kimeingia mchanga aisee...khaaa!
Ab-Titchaz pole ndio ukubwa ila kwako ushabiki weka pembeni wewe ndio mrusha pic wetu tuna kutegemea so rusha inavyotakiwa sio upendeleo weka Ray Allen a Dunk hehe , Danny Green 3 au Tatu ya Tooooniiii Parker(French Accent) ile Kule kona aliyepiga kuwe Kama Movie Highlight hivi ya Pic tunapenda tukiona umechangamka hatupendi tukikuona unafanya kitu Shingo upande.