Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
mkuu umeona kazi hio?? home court advantage ishakwenda na maji!! now we have a series.........
..."Rajon".....mambo bado sana aisee.....Spur can still deliver at AA Arena....do not wash them out!......niko hapa Sunshine State kushuhudia game moja kabla sijaelekea Brazil.....kuona ufunguzi wa World Cup Soccer.....
mkuu umeona kazi hio?? home court advantage ishakwenda na maji!! now we have a series.........
Jamani hii gemu leo naona kipigo tu kwa Miami....wazee wameamua hawataki mathezo aisee. Tusubiri.
Jamani hii gemu leo naona kipigo tu kwa Miami....wazee wameamua hawataki mathezo aisee. Tusubiri.
...daah ni mapumziko sasa hivi....mambo si mazuri kwa Miami.....sidhani kama wanaweza ku-turn around hii gemu......
.....mambo ya South Beach....nilikuwa nategemea ku-party leo...baada ya gemu....daahh
.....mambo ya South Beach....nilikuwa nategemea ku-party leo...baada ya gemu....daahh
Ha Ha Ha imekula kwako leo
Ila usikate tamaa anything can happen lol