The gap is down to 15 points, the next 6 minutes will be very crucial for the outcome of this game.
duh mimi ni miami heat lakini season hii kuna kitu kinaniambia spurs watatufunga....naomba niwe wrong!!!
San Antonio ndio timu chache katika historia ya Basketball wanacheza Basic Basketball hakuna madoido siamini hii game sikutizama Live ndio Spurs wameshinda nimekosa kuona game tamu ya 3 zinavyofanya nyavu shwiiiii shwiiiii angalau Leo mapicha yamemwagika mengi no kulalamika kuhusu pic thanx Ab-Titchaz watu walikuwa 3 hawazikosi ovyo Kama Allstars game ya 3 nimetizama highlight! Game nazo huku Europe usiku sana Football nisingelala bora ziangukie Weekend.spurs shot 75.8% in the first half,nba record!!! 19 for 21 in 17:15 thats 90.5% scoring 56pts.....leo tumeona how basketball should be played!!!!
Mara ya mwisho Mie kumuona Playoff Kavaa suti itakuwa kaumia, ukitowa James,Bosh then Allen awe mbadilishaji wa game wale Cole na Charlmer ila safarihii Chalmer game haijamkubali na Haslem Ana game zake zikimkubali Spurs tutakosa raha mwaka Jana alikuwa Yule mzungu kaenda Memphis kwa 3 Sema pia Mwaka Jana Manu Ginobli game ilimkataa sababu alikuwa na tatizo la mkono wakushoto, Spurs Manu yupo kwenye game huu mwaka, sasa hivi Green ukitoa zile 3 sijamuona kuikamata game vizuri nataka iwe 3-1 ila Inaenda 2-2 kwa sasa.Hivi kwanini Beasley hachezeshwi?......
Ogah Una mwembwe usisahau tu kuwarushia picha za Beach huko za bikini angalia usiporwe simu tu ila najuwa macho yatakavyokutoka hata simu utashindwa kupiga picha enjoy ila wasalimie na masela villimani Kule usiogope kufika waambie Ndugu zenu kwa ma babu wa ma babu wanawasalimia wasione tumewatupa hehehehe........kwa kweli imekula kwangu...kesho na-catch a flight to Panama then Brazil.....kule kuna Party kibao za samba.....si unajua tena....later guys
hiki kichapo cha leo kimenifanya nikumbuke hii kauli yangu....moyo wangu unataka miami ashinde lakini akili yangu inaniambia spurs watatufuga!!!!
cc: Mourinho
spurs shot 75.8% in the first half,nba record!!! 19 for 21 in 17:15 thats 90.5% scoring 56pts.....leo tumeona how basketball should be played!!!!