2014 NBA Finals...updates

...Leadership and Teamwork, Both are lacking in Miami.

very true.......si umeona jinsi ambavyo Parker na Manu wasivyofanya sana kazi lakini...vijana wao wanavyoteremsha kibano....duuh......Heat hachomoki hiyo kesho....
 
Hivi game zetu za Afrika/Tz zinafuatiliwa na wazungu aghalabu kama sisi tunavyofuatilia zao?

na sisi tungekuwa tuna-promote mbio ndefu kama wao wanavyo-promote Soccer, Basketball, NFL, Rugby.....angalau tungewavuta sana watulipe.....matokeo yake tunawafuata wao ili wa-promote ma-star wetu wa mbio ndefu.....

Umeon Jitihada za Dikembe Mutombo kuhusu kukuza Basketball.....halafu angalia serikali husika zinavyo-respond.....its pathetic!......
 
very true.......si umeona jinsi ambavyo Parker na Manu wasivyofanya sana kazi lakini...vijana wao wanavyoteremsha kibano....duuh......Heat hachomoki hiyo kesho....
Hatuwezi kujuwa chochote mara kitatokea ila 3-1 San Antonio sio rahisi kuharibu, Ogah vipi Brazil umefurahi na holiday yako ? tunafurahi kuona umerudi kwenye shughuli zako za kawaida tumesema usije ukapitiliza huko Jimama mmoja akakubeba villimani Kule siku ya kazini unasikia Alarm Kumbe bado upo Brazil mtu wetu hehehe.
 

hahahaha......daah mazee...kama ulikuwepo vile!.....ilikuwa balaa......Wakuu inabidi mutembelee kule aisee....walau kwenye Carnival yao....... ila muende na "vimanzi" (mnakumbuka hilo neno?) vyenu.....you have been warned.....
 

Mazee hivi umegundua kuwa wins zote za Spurs ni blowout?

Game ya kwanza walishinda kwa points 15....game ya pili wakashindwa kwa points mbili (la sivyo Heat wangekuwa swept)....game ya tatu wakashinda kwa points 19.....na game ya nne wakashinda kwa points 21!

Kuna pattern hapo mazee.....
 

Spur wamakamilika pamoja na kuwa na baadhi ya wachezaji wazee, lakini hawa Heat ni sawa na kutumia mabavu zaidi kuliko ufundi ndizo sifa za akina James, wakibanwa vizuri hawafurukuti.
 
Dah nisingependa kuona miami wanatoka kirahisi bana.
 
Kifo cha Miami kimeishafika. Lebron James alianza kwa nguvu za soda, sasa hivi steam yote imekwisha.
 
17 years
Same team
Same coach
Same core crew
Same town
...............................................................Tim Duncan
No short cuts like lady James from Cleveland to Miami
 
Jordan 91, 92, 93...........................96, 97, 98
This dude call himself "King James": 2012, 2013...............chocked, chocked, and chocked...............no three peat
 
Team Heat watakuja kusingizia hapa mechi za Brazil, halafu Bosh anajua kwamba state of Texas hawafagilii homos? Next time asije kumlammu mtu akikutana na majanga

WE ARE THE CHAMPIONS
 
Haya wakuu...........tukutane msimu ujao.......Hongereni sana Spurs........kilio chenu Mola amewasikia......hasira zangu zote kwenye boksi kesho......asinisemeshe mtu......nitamwangushia boksi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…