Kawhi Leonard, the MVP
......duuuh mazee una hasira ile mbaya na LeBron......thats just a game.......kuna kushinda na kushindwa ........this year Spurs walikuwa best kwenye kila idara.......wasalimie Ohio......lol17 years
Same team
Same coach
Same core crew
Same town
...............................................................Tim Duncan
No short cuts like lady James from Cleveland to Miami
Huyu Patty Mills ndo nani huyu? Khaaaaaa!!!!
The tallest player in the NBAWhat is he, then?
Hayo ndio matunda ya short cuts.......duuuh mazee una hasira ile mbaya na LeBron......thats just a game.......kuna kushinda na kushindwa ........this year Spurs walikuwa best kwenye kila idara.......wasalimie Ohio......lol
anayejaribu mlinganisha MJ na LeBron ni kuonyesha upungufu wa kutofuatilia huu mchezo.......MJ ni wa kipekee kabisa....hakuna ubishi huu ni wakati wa LJ lakini hata kidogo huwezi linganisha uwezo wa MJ na LJ......MJ ni zaidi sijui hata mara ngapi........
Trust me.....kama unakumbuka ile mwaka jana Ray Allen alivyopiga zile tatu....ingekuwa LJ walal usingekuwa na hakika kama angepata.....LJ sio mmaliziaji mzuri kama say hata Ray Allen achilia mbali MJ, Kobe, KD au hata Dirk Nowitzki......hao jamaa kama uko nyuma point mbili as long as ukipata nafasi ya kuwapatia mpira....una over 98% sure kuwa wana-score.......na unashinda gemu
Tukija kwa makocha.....ninaweza kusema Popovich ni kocha bora kuliko Phil kwa sababu siku zote Phil J alikuwa na mastaa wakati si hivyo kwa Popovich na Gregg Popovich ameweza ku-accomplish makubwa kwa Spurs with just above average players......if you ask me to pick the best coach even before Spurs won this title......Popovich is the best.....yule Erik wa Heat ameishiwa mbinu.....
Kobe Bryant kitu kengine ni Ronaldinho wa huo mchezo last seconds mpe tu kwenye game ngumu anachoma japo maumivu yake sioni kurudi tena na Kobe Bryant je angekuwa na umbo la Lebron? Sema kuna vitu tu nampa haki yake wapo Players Nguvu Kama Lebron ila hawajui kutumia umbo Lao.James si mchezaji mzuri wa basket ball ila zaidi kinachomsaidia na umbile lililobeba uzito mkuwa wa kutumia zaidi nguvu ndicho kinachompa kichwa. Wachezaji ambao wanatumia zaidi maarifa na wana maumbo madogo ni kama Kobe na huyu KD na kuna baadhi. Hata yule Shaq ni nguvu tu bila maarifa. Umeona Spur walimbana sana James na wale wenzake watatu hawakufurukuta. Mbaya zaid kwa Miami kupoteza mecho zote mbili za nyumbani sasa wangetegemea nini nyumbani kwa Spur?
James si mchezaji mzuri wa basket ball ila zaidi kinachomsaidia na umbile lililobeba uzito mkuwa wa kutumia zaidi nguvu ndicho kinachompa kichwa. Wachezaji ambao wanatumia zaidi maarifa na wana maumbo madogo ni kama Kobe na huyu KD na kuna baadhi. Hata yule Shaq ni nguvu tu bila maarifa. Umeona Spur walimbana sana James na wale wenzake watatu hawakufurukuta. Mbaya zaid kwa Miami kupoteza mecho zote mbili za nyumbani sasa wangetegemea nini nyumbani kwa Spur?