inaelekea una hatred tu na L James...mpe haki yake tafdhali,....jamaa ana bahati mbaya tu ya kutpondwa hii sijui kwanini.....labda inawezekana kabisa ni ile sababu anayoisema
AL SHARPTON i.e. tabia ya "short cuts".....hivi umeangalia stats za jamaa kwenye michezo yote ya hii fainali?....je umeangalia stats za jamaa wakati wa playoffs..
...LJ ni best kwa wakati huu.......ila nilishasema ni uwendawazimu kumlinganisha na MJ kiuwezo......kwa kumlinganisha LJ na wachezaji wengine wawapo uwanjani ukiondoa Kobe...yeye ni the Best kwa sasa.....period!......acheni chuki zisizo na msingi.......