Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Golden State Warriors shooting guard Stephen Curry gestures against the Los Angeles Clippers during the first quarter of Game 6 of an opening-round NBA basketball playoff series in Oakland, Calif., Thursday, May 1, 2014.
gemu la Rockets na Blazers lilikuwa safi sana to watch...........na hasa zile 3pts za mwisho.......Harden, Howard... out!
gemu la Rockets na Blazers lilikuwa safi sana to watch...........na hasa zile 3pts za mwisho.......Harden, Howard... out!
finals za West na Za East ndio itaanza Kuwa nzuri sasa hivi bado BAK na Miami Heat yake utamuona tu Indiana sijui limewasibu nini kiwango kinawaanguka muda mbaya. Timu zikibaki 2 za west na 2 za East kwenda Final ndio kutapendeza Humu.hii thread nilitegemea kumuona BAK Nyani Ngabu au wanasubiria finals...
finals za West na Za East ndio itaanza Kuwa nzuri sasa hivi bado BAK na Miami Heat yake utamuona tu Indiana sijui limewasibu nini kiwango kinawaanguka muda mbaya. Timu zikibaki 2 za west na 2 za East kwenda Final ndio kutapendeza Humu.
mkuu siamini hujataja GAME WINNING 3-POINTER YA DAMINA LILLARD WITH 0.9SECOND TO GO....0.9SECOND!!!
Hata mie Game ya OKC haikuwa na moto nilifurahi Houston kutolewa sababu ya Howard.Ngoja niendelee ku-check LAC na Warriors sasa hivi
Mkuu mbona kwenye post yangu i.e. umeni-quote....nimetaja 3pts za Damian Lillard!!.....
BTW gemu limeisha sasa hivi kati ya OKC Vs MEM.......limeniboa na hasa baada ya Randolph kupigwa ban ile last game.....Randolph angekuwepo leo tungekuwa tunazungumzia matokeo tofauti kabisa.......
Ngoja niendelee ku-check LAC na Warriors sasa hivi