Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
naona "the boys" wote i.e. Warriors, Raptors na Hawks wameshindwa kuwatoa wakongwe.......sasa walau gemu za wanaume wa shoka zitaanza kuonekana......
Timu yoyote itayomfunga Clippers ndio nitaishangilia.
sijaona OKC na Clippers kwetu huku inakuwa usiku sana nimetizama Wizard jamaa 3 wanapiga uzuri na Nene ananguvu sana Indiana sioni kumtoa Wizard kama watashindwa kupiga 3 na Hibbert kucheza uzuri. Clippers wanatisha nafikiri OKC wamekosa ile kazi ya Madevu.Dah niliikosa gemu ya Pacers Vs Wizards leo......anyway bado mapema sana!
sijaona OKC na Clippers kwetu huku inakuwa usiku sana nimetizama Wizard jamaa 3 wanapiga uzuri na Nene ananguvu sana Indiana sioni kumtoa Wizard kama watashindwa kupiga 3 na Hibbert kucheza uzuri. Clippers wanatisha nafikiri OKC wamekosa ile kazi ya Madevu.
Nilikuwa nakuja ku comment Hilo nampenda KD ile je Kevin Durant anastahili kushinda Hiyo MVP? Naona Kama kapewa tu sababu Lebron amepata sana ukiitizama OKC Westbrook ndio MVP wao kwa ujumla. Mie sio mshabiki Kabisa wa Miami Heat ila jamaa Lebron anakila kitu kwenye game yake.......Naona kijana KD kachukua MVP!.......jamaa anastahili lakini.....
Mwaka Jana ndio Kevin Durant alistahili kupata MVP so hii Kama vile watu wameamua sio vizuri tumpe Kevin Durant sababu anakosa sababu ya Lebron mtu Kama Tony Parker naye anatakiwa ndio awe MVP kwa anavyoisukuma timu.