Car4Sale 2014 Toyota Hilux iko sokoni, bei yake hadi mwenyewe naogofya.

Car4Sale 2014 Toyota Hilux iko sokoni, bei yake hadi mwenyewe naogofya.

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
685
Reaction score
600
Bei/Price🏷️👉🏾TSH 23.5M
Call/Whatsapp📞+255 747 999 927

TOYOTA HILUX(DDP)

Year: 2014
Engine: 2 KD
Mileage: 318K
Fuel Used: DIESEL

Transmission: MANUAL

✨Alloy Wheels
✨2-SRS Airbags
✨4 Wheels Drive

✅100% Duty Paid
✅Well-Maintained
✅Swap Deals Allowed


IMG-20260321-WA0030.jpg
IMG-20260321-WA0031.jpg
IMG-20260321-WA0032.jpg
IMG-20260321-WA0033.jpg
IMG-20260321-WA0034.jpg
IMG-20260321-WA0034.jpg
IMG-20260321-WA0038.jpg
IMG-20260321-WA0035.jpg
IMG-20260321-WA0037.jpg
IMG-20260321-WA0036.jpg
 
Ofcoz hata Mimi nimeogopa😂😂
🤔 Ina maana gani bei kuwa ndogo hivi?
Kuna uwezekano 3:
1. ✔️ DEAL NZURI (rare)
Gari imechoka kidogo tu (km nyingi)
Muuzaji anahitaji pesa haraka
2. ⚠️ INA MATATIZO
Hii ndiyo ya kawaida zaidi:
Engine imeanza kuchoka
Gearbox ina shida
Accident ilishawahi
Chassis au diff ina matatizo
 
🤔 Ina maana gani bei kuwa ndogo hivi?
Kuna uwezekano 3:
1. ✔️ DEAL NZURI (rare)
Gari imechoka kidogo tu (km nyingi)
Muuzaji anahitaji pesa haraka
2. ⚠️ INA MATATIZO
Hii ndiyo ya kawaida zaidi:
Engine imeanza kuchoka
Gearbox ina shida
Accident ilishawahi
Chassis au diff ina matatizo
Inawezekana Ni dalali mzoefu , Ila Iyo Key aliyoingia nayo inashusha energy ya customers 🤔, ,,tumia lugha ya kuikubali bidhaa yako unapofanya marketing, wateja wengi tuna tabia ya kushoboka Na bidhaa ambazo muuzaji anaonekana hatojuta hata kama msiponunua,,
 
Inawezekana Ni dalali mzoefu , Ila Iyo Key aliyoingia nayo inashusha energy ya customers 🤔, ,,tumia lugha ya kuikubali bidhaa yako unapofanya marketing, wateja wengi tuna tabia ya kushoboka Na bidhaa ambazo muuzaji anaonekana hatojuta hata kama msiponunua,,
Sure.
 
🤔 Ina maana gani bei kuwa ndogo hivi?
Kuna uwezekano 3:
1. ✔️ DEAL NZURI (rare)
Gari imechoka kidogo tu (km nyingi)
Muuzaji anahitaji pesa haraka
2. ⚠️ INA MATATIZO
Hii ndiyo ya kawaida zaidi:
Engine imeanza kuchoka
Gearbox ina shida
Accident ilishawahi
Chassis au diff ina matatizo
Iko Vizuri Haina Shida Na Uzuri Tumeshaifanyia Pre-Purchase Inspection Kutoka Kwa Mafundi Wenye Weledi
 
Back
Top Bottom