darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
🤔 Ina maana gani bei kuwa ndogo hivi?Ofcoz hata Mimi nimeogopa😂😂
Inawezekana Ni dalali mzoefu , Ila Iyo Key aliyoingia nayo inashusha energy ya customers 🤔, ,,tumia lugha ya kuikubali bidhaa yako unapofanya marketing, wateja wengi tuna tabia ya kushoboka Na bidhaa ambazo muuzaji anaonekana hatojuta hata kama msiponunua,,🤔 Ina maana gani bei kuwa ndogo hivi?
Kuna uwezekano 3:
1. ✔️ DEAL NZURI (rare)
Gari imechoka kidogo tu (km nyingi)
Muuzaji anahitaji pesa haraka
2. ⚠️ INA MATATIZO
Hii ndiyo ya kawaida zaidi:
Engine imeanza kuchoka
Gearbox ina shida
Accident ilishawahi
Chassis au diff ina matatizo
Sure.Inawezekana Ni dalali mzoefu , Ila Iyo Key aliyoingia nayo inashusha energy ya customers 🤔, ,,tumia lugha ya kuikubali bidhaa yako unapofanya marketing, wateja wengi tuna tabia ya kushoboka Na bidhaa ambazo muuzaji anaonekana hatojuta hata kama msiponunua,,
Iko Vizuri Haina Shida Na Uzuri Tumeshaifanyia Pre-Purchase Inspection Kutoka Kwa Mafundi Wenye Weledi🤔 Ina maana gani bei kuwa ndogo hivi?
Kuna uwezekano 3:
1. ✔️ DEAL NZURI (rare)
Gari imechoka kidogo tu (km nyingi)
Muuzaji anahitaji pesa haraka
2. ⚠️ INA MATATIZO
Hii ndiyo ya kawaida zaidi:
Engine imeanza kuchoka
Gearbox ina shida
Accident ilishawahi
Chassis au diff ina matatizo