Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Jina Mungu lilitajwa kila alipokuwa asiyependwa na wafoji vyeti, JPM,
Kwenye shuguhuli zote za Kiserikali, jina Mungu lilisimama, kwenye korona, jina Mungu lilisimama, na Kwa tarifa tu ni kuwa, Tulianza kuamini zaidi kuhusu Mungu na uweza wake
Mvua hazikukata, shibe ilikuwepo, hatukushuhudia upungufu wa maji, chakula wala Kupanda bei Kwa nafaka n.k
Wakati huu, ni machifu nao waingie mzigoni, kwani mpaka sasa hawaoni hali ni mbaya!
Mbona hakuna maombi kuombea mvua kwa mungu wao?