Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Ukitoa pongezi kwa lugha tumia neno hongera na sio kongole... lugha huzaa, hivyo ni mzazi wa kike sawa na nchi nayo ni mama. Hupongezwa kwa neno hongera.Jitahidi kuandika vizuri mkuu.
Tuitunze tuidumishe Lugha yetu mujarabu Lugha yetu adhimu ya kiswahili
KONGOLE kiswahili.......
Unataja jina la Mungu huku unauwa watu kama si uchuro ni nini?Jina Mungu lilitajwa kila alipokuwa asiyependwa na wafoji vyeti, JPM,
Kwenye shuguhuri zote za kiserikali, jina Mungu lilisimama, kwenye korona, jina Mungu lilisimama, na Kwa tarifa tu ni kuwa, Tulianza kuamini zaidi kuhusu Mungu na uweza wake
Mvua hazikukata, shibe ilikuwepo, hatukushuhudia upungufu wa maji, chakula wala Kupanda bei Kwa nafaka n.k
Wakati huu, ni machifu nao waingie mzigoni, kwani mpaka sasa hawaoni hali ni mbaya!
Mbona hakuna maombi kuombea mvua Kwa mungu wao?
Kwa Wakristu amri ya pili aliyoipokea Nabii Musa toka mlima Sinai inasema "Usilitaje Bure Jina La Mungu Wako"Jina Mungu lilitajwa kila alipokuwa asiyependwa na wafoji vyeti, JPM,
Kwenye shuguhuri zote za kiserikali, jina Mungu lilisimama, kwenye korona, jina Mungu lilisimama, na Kwa tarifa tu ni kuwa, Tulianza kuamini zaidi kuhusu Mungu na uweza wake
Mvua hazikukata, shibe ilikuwepo, hatukushuhudia upungufu wa maji, chakula wala Kupanda bei Kwa nafaka n.k
Wakati huu, ni machifu nao waingie mzigoni, kwani mpaka sasa hawaoni hali ni mbaya!
Mbona hakuna maombi kuombea mvua Kwa mungu wao?
Hili kuilinda serikali iliopo madarakani sadaka kama hizo ni lazima.Kwa Wakristu amri ya pili aliyoipokea Nabii Musa toka mlima Sinai inasema "Usilitaje Bure Jina La Mungu Wako"
Magufuli alikuwa analitaja Bure na kuingia kanisani kama show off. Akitoka hapo anakwenda kumwaga damu za wasio na hatia kama Ben Saanane.
Ndio maana Mungu hatajwi tena? Baada ya kuachana na Mungu hata mauaji ya albino yamerudi upya, yote hayo yaliisha wakati TZ ilipokuwa ikimkabidhi Mungu mambo yote magumu. Hata nzige walipoweka kambi nchi moja jirani JPM aliita watu wa maombi na tunajua yaliyotokea, Jamhuri wala Machifu hawawezi kuilinda nchi hii. Tutaumia sana.Tanzania sasa hivi inalindwa na jamhuri.
Mawazo ya kifala hayaNdio maana Mungu hatajwi tena? Baada ya kuachana na Mungu hata mauaji ya albino yamerudi upya, yote hayo yaliisha wakati TZ ilipokuwa ikimkabidhi Mungu mambo yote magumu. Hata nzige walipoweka kambi nchi moja jirani JPM aliita watu wa maombi na tunajua yaliyotokea, Jamhuri wala Machifu hawawezi kuilinda nchi hii. Tutaumia sana.
Mungu hawezi kumlaza pema huyo pimbi hata kidogo. Huyo Mwendazake atakuwa anaungua moto tu. Kwa namna alivyopendelea Kijijini kwake Chato kwa kujenga airport na kuwapa nafasi nyeti watoto wa dada zake kwenye Serikali.Hili kuilinda serikali iliopo madarakani sadaka kama hizo ni lazima.
Yani hata ungekua ww lazima tu ingekua hivo.
Alfu inawezekana tu ikawa sio Hayati Magufuli kufanya hilo tukio Ila ni kina fulani bin fulani walifanya tukio kumchafua Hayati Magufuli.
Apumzike kwa amani na wengine wote walioichongolea mdomo serikali ikijua dhahiri haina ujanja wala ubabe wa kupambana na serikali.