CCM hawataki ushauri huu; wao wanagombana adi na kivuli chao wakidhani ni CHADEMA. Wewe hujui siasa inaonekana; siku moja tu akiachiwa CDM wanabadilisha upepo balaa.
Kibaya ni wapiga kura wengi wamezaliwa kipindi cha CHADEMA.
Voters who know not the ballot box.Kibaya ni wapiga kura wengi wamezaliwa kipindi cha CHADEMA.
Kabisa mkuu, wacha wampuuze ila upepo huu wa CDM subiri uone 2020.watakuelewa baada ya uchaguzi.
To be honesty, cdm 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na ccm, pamoja na kwamba mamvi hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in love to cdm without any reason behind. Kwanini?
Kuna sababu kama mbili za msingi.
1.Kuchoshwa na ccm sababu ya rushwa na ufisadi
2.Kuiamini cdm hasa kwa Sera nzuri na umakini kwa wakati huo
What happened, kumbe cdm was doing unseen commercial business with mamvi.
Mkubali au msikubali kosa la kukaribisha watu toka ccm 2015 halisahishiki litagharimu si chini miongo miwili au mitatu hivi.
Ccm uchaguzi 2020 itakuwa na kazi ndogo sana kwanza sioni hata umuhimu wa kukurupushana na wapinzani ,achaneni nao wameshajimaliza wenyewe 2015
Huu ni ukweli mchungu, watakuja kuelewa tu.CHADEMA walikuwa wanakuja vizuri kabisa ila kilichowagharimu ni Usanii na Tamaa ya Pesa ya Mtu Mmoja wao ambaye ashakiharibu Chama rasmi.
Natamani wanacdm wote wangekuwa na akili kama hizi, ile movie mpaka leo bado imetugharimu.Hata kama kuna baadhi ya viongozi wananunuliwa ila ukweli utabaki jinsi ulivyo move ya kumtoa Dr.Slaa nakumuingiza mamvi ilikua move mbovu kuliko zote CDM imewahi kufanya. Chama ni kama kimepoteza misingi hatuna hoja ya kusimamia
hakika, mimi mpaka leo naamini hakuna nguvu yyt iliyoletwa na lowasa. kinyume chake lowasa ndiye alipandia nguvu aliyoikuta chadema. bila huyo chama leo hii kingebaki na mshikamano na katika nafasi ya kufanya vizuri zaidi mwaka huu.Hata kama kuna baadhi ya viongozi wananunuliwa ila ukweli utabaki jinsi ulivyo move ya kumtoa Dr.Slaa nakumuingiza mamvi ilikua move mbovu kuliko zote CDM imewahi kufanya. Chama ni kama kimepoteza misingi hatuna hoja ya kusimamia
Labda wale walioko makao makuu au kwenye payroll ya chama ndio wataweza kutetea hali ya sasa hivi ila sisi tuliokuwa tunatumia nguvu na rasilimali zetu hakika tuliumizwa sana na kuondoka kwa Dr. Slaa Kwa sababu tunafahamu nguvu na ushawishi uliotumika kuisimika chama hasa maeneo ya vijijini ambako kwa miaka mingi ndio palikua ngome ya CCM ila kwa sasa hakuna hoja twaweza simamia ni kama waliopo wanaanza upya. roho yangu inauma siwezi kuwa ccm wala siwezi kuitetea chadema nimeona bora nibaki na jiwe kuu la pembeni rais ambaye kwa hakika ametuheshimisha kama taifa JPMhakika, mimi mpaka leo naamini hakuna nguvu yyt iliyoletwa na lowasa. kinyume chake lowasa ndiye alipandia nguvu aliyoikuta chadema. bila huyo chama leo hii kingebaki na mshikamano na katika nafasi ya kufanya vizuri zaidi mwaka huu.
Kwani lowasa yupo chama gani?Chadema kwisha Habari yake
Mbowe alipiga mabilion kumruhusu Lowasa agombee Urais
Weweeeeee,acha kujifarijihakika, mimi mpaka leo naamini hakuna nguvu yyt iliyoletwa na lowasa. kinyume chake lowasa ndiye alipandia nguvu aliyoikuta chadema. bila huyo chama leo hii kingebaki na mshikamano na katika nafasi ya kufanya vizuri zaidi mwaka huu.
Watu wameumizwa sana. Nikimkumbuka ndugu yangu Mikael Aweda naumia sana moyoni kwa aliyopitia.Labda wale walioko makao makuu au kwenye payroll ya chama ndio wataweza kutetea hali ya sasa hivi ila sisi tuliokuwa tunatumia nguvu na rasilimali zetu hakika tuliumizwa sana na kuondoka kwa Dr. Slaa Kwa sababu tunafahamu nguvu na ushawishi uliotumika kuisimika chama hasa maeneo ya vijijini ambako kwa miaka mingi ndio palikua ngome ya CCM ila kwa sasa hakuna hoja twaweza simamia ni kama waliopo wanaanza upya. roho yangu inauma siwezi kuwa ccm wala siwezi kuitetea chadema nimeona bora nibaki na jiwe kuu la pembeni rais ambaye kwa hakika ametuheshimisha kama taifa JPM
Lowasa ni hasara ya karne chama ilijipalia kwanza alivunjavunja misingi ya chama pili akavurugavuruga misingi ya umoja na mshikamano kwa makamanda waliokuwa wanapiginia usawa na democrasia. Chadema ya leo ni kama manuari ilikosa dira inapinga hata mambo tuliokuwa tunapigania sasa sio upuuzi huo.Weweeeeee,acha kujifariji
Chama kilikuwa hakijawahi kugawa pikipiki ngazi ya tawi, mzee wa watu alitoa pesa za kununua usafiri kila tawi halafu wewe unasema hakuwa na impacts.
Kiujumla tamaa ya pesa imekiponza cdm,
Hata sasa mbowe anatumia umaarufu wa 2015 ambao mzee lowasa aliwapromote