Uchaguzi 2020 2015 ilikuwa zamu ya CHADEMA, 2020 ni zamu ya CCM

To be honesty, CHADEMA 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na CCM, pamoja na kwambaMzee Lowassa hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in love to CHADEMA without any reason behind.

Kwanini? Kuna sababu kama mbili za msingi.

1. Kuchoshwa na CCM sababu ya rushwa na ufisadi
2. Kuiamini CHADEMA hasa kwa Sera nzuri na umakini kwa wakati huo

What happened, kumbe CHADEMA was doing unseen commercial business with mamvi.

Mkubali au msikubali kosa la kukaribisha watu toka CCM 2015 halisahishiki litagharimu si chini miongo miwili au mitatu hivi.

CCM uchaguzi 2020 itakuwa na kazi ndogo sana kwanza sioni hata umuhimu wa kukurupushana na wapinzani ,achaneni nao wameshajimaliza wenyewe 2015.
Usenge
 
chadema kimekuwa chama cha mipasho na umbea.
chadema modern taarab music band
 
Mataga nimtu yeyote ndani ya ccm asiyekuwa na cheo chochote wenzake wanapiga hela then yeye anapiga domo tu Mfano kama wewe. Maisha yako yamekuwa tough ..lakini unakaa kumlilia Mbowe wakati wenzio wameishi na kusomesha watoto kupitia kura zenu za mataga praise & worship .
mama yako naye anapiga hela?!
 
Jk alituachia falsafa nzuri Sana " akili ya kuambiwa changanya nazakwako"
Nakumbuka enzi zile,tmetoka vyuoni tumeingia vijijini kupeleka habari njema ya people's power,bila malipo wala nini.
Mwishoni kabisa mkuu wa makamanda akachukua chake mapema ikabidi abadili gia angani,too sad.
Acha tu mtukane makanda ila kiuhalisia mnajua jinsi ilivyogharimu chama
 
Umefilisika hoja, nenda kanywe maji upoe.

Badilikeni na acheni udini na ukabila na kujiweka tofauti na wengine wakati they are all black skin and one nation, ndio maana chama chenu hakipati wafuasi.
 
CCM wanaujuwa mvuto iliyonao CHADEMA, ndio maana wanategemea ulaghai, vitisho na vyombo vya dola
 
To be honesty, CHADEMA 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na CCM, pamoja na kwambaMzee Lowassa hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in love to CHADEMA without any reason behind.

Kwanini? Kuna sababu kama mbili za msingi.

1. Kuchoshwa na CCM sababu ya rushwa na ufisadi
2. Kuiamini CHADEMA hasa kwa Sera nzuri na umakini kwa wakati huo

What happened, kumbe CHADEMA was doing unseen commercial business with mamvi.

Mkubali au msikubali kosa la kukaribisha watu toka CCM 2015 halisahishiki litagharimu si chini miongo miwili au mitatu hivi.

CCM uchaguzi 2020 itakuwa na kazi ndogo sana kwanza sioni hata umuhimu wa kukurupushana na wapinzani ,achaneni nao wameshajimaliza wenyewe 2015.
Mambo yangekuwa hivyo ccm wasingejishughulisha na CDM lakini hakuna wakati ambapo upinzani unahofiwa kama katika awamu hii. Chochote chaweza kutokea pamoja na kwamba awamu hiii italazimisha ushindi kwa nguvu zote na bila aibu kama watu walivyofanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana.
 
CCM uchaguzi 2020 itakuwa na kazi ndogo sana kwanza sioni hata umuhimu wa kukurupushana na wapinzani ,achaneni nao wameshajimaliza wenyewe 2015.
kama unavyosema, ni dhahiri mwaka huu ccm wanaweza kuwa na kazi rahisi sana kwenye urais. Anyway, bado muda ni mwingi sana chochote kinaweza kutokea
 
Back
Top Bottom