Uchaguzi 2020 2015 ilikuwa zamu ya CHADEMA, 2020 ni zamu ya CCM

Pikipiki kila tawi?! Labda mikoa mingine hazikufika.
 
Bahati mbaya sana kuna watu watakuja na matusi kwenye huu uzi

Kilichoandikwa ndio ukweli pekee unaodhihirika sasa hivi

Wasiopenda kusikia huu ukweli wanadhani tunaongelea kuondoka kwa kina Lijualikali, kina Lwakatare na wengenio. HAPANA!

Ukikaa ukatafakari ndani ya uongozi kuna kitu hakiko sawa. Kuna watu wanamgomo baridi tangu Lowasa alivyokubaliwa kuingia chadema. Wenye akili hawakuafika lakini walipuuzwa na wao wakaamua kupuuza waliowapuuza.

Na hii Mimi nakubaliana na Mustapha Muro aliyekuwa diwani wa chadema kinondoni anaposema:-

"siku hizi ndani ya chama waliokuwa watengeneza hoja na kuwapa watu wamajukwaani wakaongee wameamua kuweka mgomo baridi kwasababu wanapuuzwa na hao waongeaji"

Kinachotokea wanakuja kwenye public bila hoja kama zamani. Wanategemea kubebwa na umaarufu

Hata hivyo Mimi bado naamini chadema haijachelewa sana. Wanaweza kujisahihisha na wakarudi kwenye mstari kwasababu ndani ya chadema bado kuna watu makini kikubwa ni wao kuwatayari kuheshimiana

Kila mtu aheshimu wazo na jukumu la mwenzake bila kuangalia umaarufu watarudi tu na hapo ndo hawatashikika tena. Sasa hivi hakuna maelewano na yalivurugika siku Lowasa anaingia chadema
 
Watu wameumizwa sana. Nikimkumbuka ndugu yangu Mikael Aweda naumia sana moyoni kwa aliyopitia.
Acha tu ndugu yangu watu tumekimbia familia tumeshinda milimani usiku wa manane wengine wameachwa na vilema leo tunajutia juhudi zote tulizotumia kujenga chama yaani nikikumbuka sekeseke za arumeru roho inatoa machozi Ila poa tu. Mbowe alaaniwe kwa alichokifanya 2015
 
Sitathubutu kumpigia kura MCHAGGA. Kwanza MCHAGGA ni mpenda hela, utu wengi wao hawana, udini na ukabila ndio usiseme. Halafu siwatambui kama ni ndugu zetu hawa, hawa sijui made in wapi tu! Anaejua atudokeze ni from eritrea ama??
 
Unayemzungumzia ni Dr Slaa yupi?
Yule ambae
-alisindikizwa na Dr Mwakyembe kwenye mkutano wake na waandishi wa habari?
-alikuja lipiwa deni na CCM ili nyumba yake isinadiwe?
Basi poleni sana.
 
Sitathubutu kumpigia kura MCHAGGA. Kwanza MCHAGGA ni mpenda hela, utu wengi wao hawana, udini na ukabila ndio usiseme. Halafu siwatambui kama ni ndugu zetu hawa, hawa sijui made in wapi tu! Anaejua atudokeze ni from eritrea ama??
Umefilisika hoja, nenda kanywe maji upoe.
 
Unayemzungumzia ni Dr Slaa yupi?
Yule ambae
-alisindikizwa na Dr Mwakyembe kwenye mkutano wake na waandishi wa habari?
-alikuja lipiwa deni na CCM ili nyumba yake isinadiwe
Basi poleni sana.
Unahoja mkuu lakini tambua watu walikua radhi kukipigania chama sababu kilikua na dira na itakadi inayoeleweka. Pamoja na mazingira ya kisiasa kuwa magumu kama chama kingekua na misingi na itikadi zile za Dr.Slaa wala magufuli asingeweza kukisumbua tatizo ni kukosa dira na viongozi wa kusimamia hayo. Kubadili gia kumetuvuruga sana na kubwa zaidi ni kuondoka kwa kiongozi mwenye sifa za kufanya hayo of which ni Dr aliyeyafanya hayo kwa uweledi mkubwa
 
Tunaitaji kiongozi makini kama Mbowe .....ambaye sio maskini
kweli kabisa. kama analipwa mshahara na marupurupu ya ubunge na bado anajilipa m50 za chama kila mwezi, umaskini kwake utatoka wapi?!
 
kweli kabisa. kama analipwa mshahara na marupurupu ya ubunge na bado anajilipa m50 za chama kila mwezi, umaskini kwake utatoka wapi?!

Mbona mnaweweseka Mara mil 400 Mara BL.8 Mara mil 50 lipi nilipi.
 
soon itajulikana lipi ni lipi.


Akili za kimaskini zinakutesa


Then Mbowe. Angepora Trillion elfu kumi mimi siwezi kuipa kura yangu ccm japokuwa mama yangu ni diwani wa ccm mapenzi ayalazimishwi...hela za cdm zinaibiwa mtu wa Mataga unalalamika , kama si uchizi ni nini
 
Ni kundi lipi kwenye Jamii kusema limefaidi uwepo wa ccm awamu hii yaani limepata nafuu.Ukipata jibu ndo litakuwa jibu
 
Akili za kimaskini zinakutesa


Then Mbowe. Angepora Trillion elfu kumi mimi siwezi kuipa kura yangu ccm japokuwa mama yangu ni diwani wa ccm mapenzi ayalazimishwi...hela za cdm zinaibiwa mtu wa Mataga unalalamika , kama si uchizi ni nini
mama yako naye ni mataga wa ccm?!
 
mama yako naye ni mataga wa ccm?!



Mataga nimtu yeyote ndani ya ccm asiyekuwa na cheo chochote wenzake wanapiga hela then yeye anapiga domo tu Mfano kama wewe. Maisha yako yamekuwa tough ..lakini unakaa kumlilia Mbowe wakati wenzio wameishi na kusomesha watoto kupitia kura zenu za mataga praise & worship .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…