Uchaguzi 2020 2015 ilikuwa zamu ya CHADEMA, 2020 ni zamu ya CCM

Usenge
 
chadema kimekuwa chama cha mipasho na umbea.
chadema modern taarab music band
 
mama yako naye anapiga hela?!
 
Jk alituachia falsafa nzuri Sana " akili ya kuambiwa changanya nazakwako"
Nakumbuka enzi zile,tmetoka vyuoni tumeingia vijijini kupeleka habari njema ya people's power,bila malipo wala nini.
Mwishoni kabisa mkuu wa makamanda akachukua chake mapema ikabidi abadili gia angani,too sad.
Acha tu mtukane makanda ila kiuhalisia mnajua jinsi ilivyogharimu chama
 
Umefilisika hoja, nenda kanywe maji upoe.

Badilikeni na acheni udini na ukabila na kujiweka tofauti na wengine wakati they are all black skin and one nation, ndio maana chama chenu hakipati wafuasi.
 
Badilikeni na acheni udini na ukabila na kujiweka tofauti na wengine wakati they are all black skin and one nation, ndio maana chama chenu hakipati wafuasi.
CCM wanaujuwa mvuto iliyonao CHADEMA, ndio maana wanategemea ulaghai, vitisho na vyombo vya dola
 
Mambo yangekuwa hivyo ccm wasingejishughulisha na CDM lakini hakuna wakati ambapo upinzani unahofiwa kama katika awamu hii. Chochote chaweza kutokea pamoja na kwamba awamu hiii italazimisha ushindi kwa nguvu zote na bila aibu kama watu walivyofanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana.
 
CCM uchaguzi 2020 itakuwa na kazi ndogo sana kwanza sioni hata umuhimu wa kukurupushana na wapinzani ,achaneni nao wameshajimaliza wenyewe 2015.
kama unavyosema, ni dhahiri mwaka huu ccm wanaweza kuwa na kazi rahisi sana kwenye urais. Anyway, bado muda ni mwingi sana chochote kinaweza kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…