GE2025 2015 Lowassa alijitoa CCM , 2020 Membe alijitoa CCM, 2025 kuna dalili yoyote ya mwanachama mzito kuchomoka ?

GE2025 2015 Lowassa alijitoa CCM , 2020 Membe alijitoa CCM, 2025 kuna dalili yoyote ya mwanachama mzito kuchomoka ?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

nguvu ya buku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
168
Reaction score
549
2015 - EDWARD NGOYAI LOWASSA

2020 - BENARD KAMILIUS MEMBE

2025 - ???? (Imekuwa Reverse kwa mkuu wa chama cha upinzani kwa muda mrefu)
 
Chadema wanakwenda kuchukua takataka nyingine then takataka irudi jalalani.
 
Mbali na kujitoa bado naona CCM haijatetereka kivile wana umoja

Ningependa kuona mtu gani ana nguvu kiasi kikubwa aakijitoa chama kinayumba

Ni nani huyu?
 
2015 - EDWARD NGOYAI LOWASSA

2020 - BENARD KAMILIUS MEMBE

2025 - ????
Mwaka huu hakuna atakayetoka ila zitapoigwa ngumi ndani kwa ndni mpaka nje watashuhudia halafu wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe mpaka baadhi ya wanufaika kutoka nchi jirani watakimbia ama kurudi kwao au kwa mjomba
 
Back
Top Bottom