N nguvu ya buku Senior Member Joined Jul 15, 2025 Posts 168 Reaction score 549 Jul 25, 2025 #1 2015 - EDWARD NGOYAI LOWASSA 2020 - BENARD KAMILIUS MEMBE 2025 - ???? (Imekuwa Reverse kwa mkuu wa chama cha upinzani kwa muda mrefu)
2015 - EDWARD NGOYAI LOWASSA 2020 - BENARD KAMILIUS MEMBE 2025 - ???? (Imekuwa Reverse kwa mkuu wa chama cha upinzani kwa muda mrefu)
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jul 25, 2025 #2 Chadema wanakwenda kuchukua takataka nyingine then takataka irudi jalalani.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Jul 25, 2025 #3 2025 Mboe anajiunga CCM
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,497 Reaction score 26,062 Jul 25, 2025 #4 Mbali na kujitoa bado naona CCM haijatetereka kivile wana umoja Ningependa kuona mtu gani ana nguvu kiasi kikubwa aakijitoa chama kinayumba Ni nani huyu?
Mbali na kujitoa bado naona CCM haijatetereka kivile wana umoja Ningependa kuona mtu gani ana nguvu kiasi kikubwa aakijitoa chama kinayumba Ni nani huyu?
Intelligence Justice JF-Expert Member Joined Oct 23, 2020 Posts 3,840 Reaction score 4,414 Jul 25, 2025 #5 nguvu ya buku said: 2015 - EDWARD NGOYAI LOWASSA 2020 - BENARD KAMILIUS MEMBE 2025 - ???? Click to expand... Mwaka huu hakuna atakayetoka ila zitapoigwa ngumi ndani kwa ndni mpaka nje watashuhudia halafu wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe mpaka baadhi ya wanufaika kutoka nchi jirani watakimbia ama kurudi kwao au kwa mjomba
nguvu ya buku said: 2015 - EDWARD NGOYAI LOWASSA 2020 - BENARD KAMILIUS MEMBE 2025 - ???? Click to expand... Mwaka huu hakuna atakayetoka ila zitapoigwa ngumi ndani kwa ndni mpaka nje watashuhudia halafu wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe mpaka baadhi ya wanufaika kutoka nchi jirani watakimbia ama kurudi kwao au kwa mjomba
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Jul 25, 2025 #6 Mungu atachagua wa kumtoa