Car4Sale 2015 Mercedes-Benz S400 “presidential” iko kwa soko

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
685
Reaction score
600
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 67M
Call📞+255 747 999 927

MERCEDES BENZ S-CLASS

Year: 2015
Engine: 3.0L
Mileage: 50K
Fuel Used: PETROL

Transmission: AUTO

✨Push To Start
✨Leather Seats
✨Parking Sensors

✅100% Duty Paid
✅Free Registration
✅Swap Deals Allowed

IMG-20260123-WA0051.jpg
IMG-20260123-WA0056.jpg
IMG-20260123-WA0057.jpg
IMG-20260123-WA0053.jpg
IMG-20260123-WA0058.jpg
 
Very good car indeed. Mtu ataokota dodo.

Ila gari ya 2015 kwa miaka 10 mpaka 2025, inakuaje na milleage 50k average ya km 5000 kwa mwaka na 416 kwa mwezi na kwa siku ni km 13. Inawezekana vipi? Ilikua haitembei
Swali Zuri Sana Hilo Ila Kwa Ufupi Hata Hayo Maswali Huwa Tunawauliza Wajapan Na Haya Ndio Majibu Yake;

Wenzetu Wamepiga Hatua Kubwa Sana Katika Sekta Ya Usafiri Wa Anga, Ardhini, Pamoja Na Majini.

Ivyo Unakuta Mtu Katika Kipindi Cha Mwezi Mmoja Anaweza Akatumia Gari Yake Mara Moja Ikizidi Sana Mara Mbili Na Huenda Muda Mwingi Asitumie Kabisa Katika Kipindi Hicho Cha Mwezi.

Mfano Mzuri Kuna Interview Moja Rapa Wa Marekani Rick Ross Aliwahi Kuhojiwa Kuhusiana Na Umiliki Wa Magari Yake Mengi Ya Kifahara.

Akasema Kuna Muda Inafika Inapita Hadi Kipindi Cha Mwaka Mzima Kuna Gari Hajawahi Kuzitembelea.

Naamini Utakuwa Umepata Mwangaza Kidogo Kuhusu Hilo.
 
Inawezekana wanafanya udanganyifu sio bure kwa gari nyingi za Japan unakuta mileage ndogo sana utacheka IST ya 2006 huko unakuta inasoma hivyo hivyo..
 
Nmekupata kaka.
 
Binadamu Sio Malaika Ivyo Anaweza Akafanya Lolote Like Kwa Maana Aliyemkamilifu Ni Mwenyezi Mungu Pekee
 
Back
Top Bottom