2015 Nissan X-trail Hybrid Vs 2015 Honda vezel Hybrid gari zinazokuja kuteka soko kila eneo

Ukitaka kununua haya magari usiwe na haraka kuwa mtembeleaji mzuri tu wa BF,STB n.k kuna siku unaweza kulibahatisha kwa bei kitonga. Ila sasa hivi natamani TOYOTA C-HR.
 
Fortuner zote zimetengenezwa na kaburu na nadhani ni gari nyingi sana hizo kama Ford ranger tuu sasa kwa nini usichukue hii toleo jipya la kuanzia 2017 inaweza kufika hapo au ikaongezeka kidogo tuu mimi naleta hizo gari Tanzania kila mara...ukiwa tayari nione Pm tuwasiliane zaidi..
 
Mkuu huwa una yard huku bongo?! Au unaleta kwa oda maalum?!
 
Mkuu huwa una yard huku bongo?! Au unaleta kwa oda maalum?!
Naleta kwa order maalum ila nategemea kuwa na Yard hapo Arusha karibuni tuu..ila pia gari nazoweza kuleta bila order ni Land Cruiser maana zina soko kubwa ila hizi zingine mpaka utoe order...
 
Naleta kwa order maalum ila nategemea kuwa na Yard hapo Arusha karibuni tuu..ila pia gari nazoweza kuleta bila order ni Land Cruiser maana zina soko kubwa ila hizi zingine mpaka utoe order...
Shukurani kaka
Nakufuata PM kwa maelezo zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…