Timu yetu ya taifa stars wangeomba mechi ya urafiki na timu ya wanawake ya German kama hatujapigwa si chini ya 6
hizo mbona chache mkuuTimu yetu ya taifa stars wangeomba mechi ya urafiki na timu ya wanawake ya German kama hatujapigwa si chini ya 6
Timu yetu ya taifa stars wangeomba mechi ya urafiki na timu ya wanawake ya German kama hatujapigwa si chini ya 6
Ni kweli mkuu wale wadada wapo vizuri utazani wanaume
Ila hata twiga stars kuna kipindi walitisha
Mkuu ule uzi upo wapi looooohhh nidondoshe namba zangu mie.
Sijui labda umefutwa,nitumie pm basi
Hahahaaa pm nimeblockkk
Mamy vipi na sisi tutafute namba bhana tukawakilishe.
Mimi nitakuwa kipa
Mimi striker kama kawa....