Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nimeshangaa sana kuwa hakuna thread inayojadili jambo hili hapa JF, ila wasichana wanaowakilisha nchi zao katika kundi D wanajitahidi sana. Sasa hivi naona USA na Sweden wanatoana jasho ile mbaya.
Huwa nashindwa kuelewa iwapo sheria zitapindwa kidogo halafu wasichana hawa wakapambanishwa na Taifa Stars yetu mambo yatakuwaje.