2016 MTV Video Music Awards

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Ebana eeh kuna mtu aliyeangalia VMAs jana?

Ile performance ya Bey ilikuwa khatari sana hususan pale kwenye wimbo wa 'Hold Up'.

Haki ya nani ile cheza yake imenipa hamu ya kutafuta wachuchu wanaofanya outcalls leo😛.

BAK vipi....did you watch it?

Video ya wimbo wa 'Hold Up' hii hapa...

 
Reactions: BAK
Mi huwa nazimika na mademu wanaocheza Yoga
 
Mi nimependa speech ya Kanye West, mwisho kamalizia na "Bro,we are undeniably the influence and the thought leaders"...

Naona jana alikuwa anatabasamu tu.
 
Yes I watched it, B naona kaamua siku hizi kufanya vitu vyake na kuweka aibu pembeni.

 
Yes I watched it, B naona kaamua siku hizi kufanya vitu vyake na kuweka aibu pembeni.

Man...that last night wasn't Beyoncé.

It was her alter ego - Sasha Fierce!

She was in her element!

[emoji106] [emoji106]
 
Reactions: BAK
Lol! We need more of Sasha Fierce, I did not want her performance to end.

Man...that last night wasn't Beyoncé.

It was her alter ego - Sasha Fierce!

She was in her element!

[emoji106] [emoji106]
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
wametoa tuzo.
au category?
 
wachuchu wanaofanya outcalls leo😛.
Umenikumbusha kuna kipindi kidogo nilikuwa nishindwe kuwa na jiko. There are two worlds apart, Unachagua unachotaka ambapo upande wa pili your choices are limited!
Ilikuwa inanifanya mimi kujisikia siishii kula kwa macho na ilikuwa sehemu nzuri ya ku de-stress.

Nimemisi lapdance! Mbeleni wacha kuitwe mbeleni!
 
Beyonce katika ubora wake.....alistahili kabisaa mituzo.....safi saaana beyonce

drake kuendelea kumtaman rihanna..
 
Ila teyana kwenye fade ya yeezy balaa. Bey kamaliza mkuu
 
Ni wazi kuwa mtanzania ukiangalia starehe na raha zilizopo USA utaona kama sisi tupo tupo na tunaigaiga tu vitu wala tunazoita starehe huku hakuna chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…