Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi huwa nazimika na mademu wanaocheza Yoga
Sina uhakika,Bey huwa anafanya yoga?
Kidogo nitoke bila,lakini nilipoona video ndio nikajua Bey = Beyonce.Bey huwa anafanya yoga?
Ebana eeh kuna mtu aliyeangalia VMAs jana?
Ile performance ya Bey ilikuwa khatari sana hususan pale kwenye wimbo wa 'Hold Up'.
Haki ya nani ile cheza yake imenipa hamu ya kutafuta wachuchu wanaofanya outcalls leo😛.
BAK vipi....did you watch it?
Video ya wimbo wa 'Hold Up' hii hapa...
Yes I watched it, B naona kaamua siku hizi kufanya vitu vyake na kuweka aibu pembeni.
Man...that last night wasn't Beyoncé.
It was her alter ego - Sasha Fierce!
She was in her element!
[emoji106] [emoji106]
Umenikumbusha kuna kipindi kidogo nilikuwa nishindwe kuwa na jiko. There are two worlds apart, Unachagua unachotaka ambapo upande wa pili your choices are limited!wachuchu wanaofanya outcalls leo😛.
Ila teyana kwenye fade ya yeezy balaa. Bey kamaliza mkuu