2016 to 2021, maono ya kuwa Hayati Magufuli atafariki dunia yalikuwa ni mengi sana humu ndani na nje ya hili jukwaa

Hata waliouwawa wakati wa Magufuli, watanzania wengi waliumizwa na vifo vile.
 
Maadui zake walikua smart kuliko yeye
 
Jubha jubha!
Hawakufuata kitoweo hao mkuu?
 
Nimejiuliza, nikujibu au niache...nimesikitishwa na ulichoandika.

Itoshe kusema mkuu, unawaza/kufikiri ki-CCM CCM, ingawa sijajua wewe ni wa mlengo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…