Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
2016 Fortuner 2.8 GD 4×2, Rand 520,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuanza kuzagaa Tanzania itachukua muda kidogo kama miaka 5 mbele na si sasa kwa zile za mnadani na insurance walioptata ajali na kulipwa...then zinaenda kuuzwa yard bei ya kawaida tuu..mkuu... nikiwa na mil 13.5 naweza kupata hii gari??
wanazo auto na manual ni wewe unataka ipi..Ni manual au auto hili ndinga
Nilitaka tuu kufahamu mkuu,hiki kipindi cha Magu hio hela tunafanya kuisikia tuuwanazo auto na manual ni wewe unataka ipi..
Ok mkuu mimi mwenyewe nafanya kuwaonyesha bei gari za mwaka huu maana gari Tanzania wanaongeza sana sifuri wakati zinakotoka bei ya kawaida tuu sasa hiyo ya 2016 ipo bei hiyo ya 2010 si ipo chini zaidi maana SA bei inapungua kutokana na mwaka hata lingekuaje gari toleo la 2005 mpaka 2008 hilo ni la Zamani bei itakua chini ntatoa magari mengi ambayo katika auction bei za kawaida tuu huko tunazidishiwa sifuri nyingi tuuNilitaka tuu kufahamu mkuu,hiki kipindi cha Magu hio hela tunafanya kuisikia tuu
Mkuu upo SA?Ok mkuu mimi mwenyewe nafanya kuwaonyesha bei gari za mwaka huu maana gari Tanzania wanaongeza sana sifuri wakati zinakotoka bei ya kawaida tuu sasa hiyo ya 2016 ipo bei hiyo ya 2010 si ipo chini zaidi maana SA bei inapungua kutokana na mwaka hata lingekuaje gari toleo la 2005 mpaka 2008 hilo ni la Zamani bei itakua chini ntatoa magari mengi ambayo katika auction bei za kawaida tuu huko tunazidishiwa sifuri nyingi tuu
we utakuwa na matatizo mkuu sio bureee, yani mil 13.5 unawaza latest fortuner haaaaaa!!!mkuu... nikiwa na mil 13.5 naweza kupata hii gari??
Ok mkuu mimi mwenyewe nafanya kuwaonyesha bei gari za mwaka huu maana gari Tanzania wanaongeza sana sifuri wakati zinakotoka bei ya kawaida tuu sasa hiyo ya 2016 ipo bei hiyo ya 2010 si ipo chini zaidi maana SA bei inapungua kutokana na mwaka hata lingekuaje gari toleo la 2005 mpaka 2008 hilo ni la Zamani bei itakua chini ntatoa magari mengi ambayo katika auction bei za kawaida tuu huko tunazidishiwa sifuri nyingi tuu
Mkuu toyota voltz ya 2010 SA bei gani
OK kwaiyo hazitoki tena?na vp khs toyota wishSidhan kama kuna voltz ya mwaka huo..maana hizo gari zilifel sokoni
OK kwaiyo hazitoki tena?na vp khs toyota wish
Mkuu harrier ni gari zilizotengenezwa Japan zinapatikana Durban na Messina sijajua bei gani maana hizi haziruhusiwi kusajiliwa SA zinauzwa tuu kwa nchi zinazotumia hayo magari na pia likiuzwa haliruhusiwi kutembea SA linabebwa mpaka Botswana kwa ajili ya kulinda soko la magari wanayotengeneza wao ila Lexus wanazo ila chache..Harrier hybrid ya mwaka 2010 inapatika kwa randi ngapi huko kwa madiba??