2016 Toyota Fortuner 2.8 GD.

Nilitaka tuu kufahamu mkuu,hiki kipindi cha Magu hio hela tunafanya kuisikia tuu
Ok mkuu mimi mwenyewe nafanya kuwaonyesha bei gari za mwaka huu maana gari Tanzania wanaongeza sana sifuri wakati zinakotoka bei ya kawaida tuu sasa hiyo ya 2016 ipo bei hiyo ya 2010 si ipo chini zaidi maana SA bei inapungua kutokana na mwaka hata lingekuaje gari toleo la 2005 mpaka 2008 hilo ni la Zamani bei itakua chini ntatoa magari mengi ambayo katika auction bei za kawaida tuu huko tunazidishiwa sifuri nyingi tuu
 
Mkuu upo SA?
 

Harrier hybrid ya mwaka 2010 inapatika kwa randi ngapi huko kwa madiba??
 
Dah! Ngoja nile kwa macho tu... Huo mpunga ni mrefu sana kwa Mtanzania wa kipato cha chini kama mie...
 
Harrier hybrid ya mwaka 2010 inapatika kwa randi ngapi huko kwa madiba??
Mkuu harrier ni gari zilizotengenezwa Japan zinapatikana Durban na Messina sijajua bei gani maana hizi haziruhusiwi kusajiliwa SA zinauzwa tuu kwa nchi zinazotumia hayo magari na pia likiuzwa haliruhusiwi kutembea SA linabebwa mpaka Botswana kwa ajili ya kulinda soko la magari wanayotengeneza wao ila Lexus wanazo ila chache..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…