Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Siku ya Alhamisi tarehe 31/08/2017 itakuwa siku ya mwisho ya usajili barani Ulaya kwa majira ya kiangazi kwa msimu wa 2017/2018.
Hivyo ukiwa kama mdau wa michezo, karibu katika uzi huu ili kujua Mchezaji yupi ataenda klabu ipi katika siku ya mwisho ya Dirisha kubwa la usajili barani Ulaya.
Baadhi ya majina makubwa yanayohusishwa na uhamisho katika siku ya mwisho ya Usajili barani humo ni pamoja na;
Johnny Evans kutoka West Brom kwenda Man City
Coutinho kutoka Liverpool kwenda Barcelona
Sanchez kutoka Arsenal kwenda Man City
Mustafi kutoka Arsenal kwenda Inter Milan
Hayo na mengineo usikose kutembelea uzi huu kila baada ya muda kutakuwa na Updates!!