2017: European Transfer Deadline Day

2017: European Transfer Deadline Day

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
medium_Transfer-Deadline-Day.jpg

Siku ya Alhamisi tarehe 31/08/2017 itakuwa siku ya mwisho ya usajili barani Ulaya kwa majira ya kiangazi kwa msimu wa 2017/2018.

Hivyo ukiwa kama mdau wa michezo, karibu katika uzi huu ili kujua Mchezaji yupi ataenda klabu ipi katika siku ya mwisho ya Dirisha kubwa la usajili barani Ulaya.

Baadhi ya majina makubwa yanayohusishwa na uhamisho katika siku ya mwisho ya Usajili barani humo ni pamoja na;
Johnny Evans kutoka West Brom kwenda Man City
Coutinho kutoka Liverpool kwenda Barcelona
Sanchez kutoka Arsenal kwenda Man City
Mustafi kutoka Arsenal kwenda Inter Milan

Hayo na mengineo usikose kutembelea uzi huu kila baada ya muda kutakuwa na Updates!!
 
Mkuu kumbuka deadline hutofautiana
Mf England wao mwisho ni Aug 31 SAA 23:59
Germany wao mwisho ni Aug 31 saa kumi na moja jioni
Spain wao mwisho ni sept 1 usiku

Kwahiyo sio kwa ulaya yote deadline ni Aug 31
 
Juve imemsajili beki wa kati wa Schakle 04, Benedikt Howedes kwa mkopo wa msimu mzima
DIf6b7YW4AAy3Hx.jpg
 
Back
Top Bottom