2017 Lincoln Continental

2017 Lincoln Continental

2017-Lincoln-Continental-119-876x535.jpg

Hapa umenibamba Mwanawane, gari nyingi zinakua imara na nzuri lakini ndani za kawaida. Ila hii kitu no habari nyingine.
 
Hiyo puppy imetulia sana.

Nilipoiona kwa mara ya kwanza ilibidi nitazame mara mbili...
 
I see a lot of Jaguar and Bentley in this face.

Nadhani anaefanya aesthetic na aerodynamics design za body alilikisha template so kila mtu anafanya tu minor adjustment here and there ila mwisho wa siku naona magari yote yanaanza kufanana. Sio hii Lincoln tu hata SUVs nazo ziko kama zinafanana sana tu. UBUNIFU UMETUPWA KULE....
 
Very true...hebu angalia hii Maserati Levante na 2017 Porsche Macan

d3c0ce294fb7d67307959e5fb65dba4fx.jpg

2017-Porsche-Macan-front-view.jpg
 
Back
Top Bottom