2018 Ballon D'or winner will be ...........

Hapo ni mpambano wa messi na ronaldo tu ila sababu ronaldo ana bifu ,figisufigisu kibao na ex timu yake. Messi lazima abebe
 
Anayechukua sijaona atajwe na mtu yoyote katika huu Uzi wote. Anaitwa Grizman kutokea Atletico Madrid. Kachukua Europa, Uefa super cup na kombe la dunia.
 
Mbappe hawezi chukua na hawezi chukua hata mwakani bado Sana.... Wanaangalia vitu vingi mno still atachukua Messi au ronaldo hata Modric habebi hii
This time wasipompa King ntaendelea kuwaona waajabu sana...Messi anastahili kuchukuwa
 
Back
Top Bottom