May beMbappe hawezi chukua na hawezi chukua hata mwakani bado Sana.... Wanaangalia vitu vingi mno still atachukua Messi au ronaldo hata Modric habebi hii
KabisaIngekuwa naruhusiwa kupiga kura ingeenda kwa Leo Messi
King Messi anachukuwa kiulaini, huyo dogo bado mbichi sanaMbape anakwenda kuishangaza dunia wallah akinyimwa mwaka huu ujao yake
This time wasipompa King ntaendelea kuwaona waajabu sana...Messi anastahili kuchukuwaMbappe hawezi chukua na hawezi chukua hata mwakani bado Sana.... Wanaangalia vitu vingi mno still atachukua Messi au ronaldo hata Modric habebi hii