Argentina vs Nigeria. Hawa jamaa huwa wanakutana sana. Juzi kwenye friend match Argentina kachezea 4-2. Sasa wanakitana tena.
1994 kule marekani Diego Maradona alipigwa viatu na wanigeria. Maradona akiojiwa na waandishi wa habari akasema waafrika ni mbwa. Game iliyofuata Nigeria vs Saudi Arabia Finidi George anafunga bonge la goli baada ya kuwapangua mabekia kibao wa saudi arabia. Anakimbia mpaka kwenye kibendera cha kona kisha anatembea kama mbwa anafanya kama mbwa dume anavyokojoa.Nimemsikia mchambuaji mmoja wa mpira amesema katika mara 6 Nigeria walizoshiriki kombe la dunia mara 5 kakutana na Argentina.... Ajabu kweli
Mkuu vinachanganywa ka uefaSijajua kwa nini spain mabingwa wa 2010 wawekwe pot no 2. Poland aakae pot no 1. Kama ni kumaliza mshindi wa kwanza kwenye kundi spain alimaliza wa kwanza juu ya Italia.
Kama ni fifa ranking sidhani kama poland atakuwa juu ya Spain. Kigezo gani kimetumika?
Mbele ya messi sahauNigeria... Itatuwakilisha vyema
Angalia post no 13 ya RRONDO hivyo ndio vigezo viliyotumika.Mkuu vinachanganywa ka uefa
Argemessi anasepa naloArgentina,france,germany,spain or croatia....moja wapo anaondoka na Puttin Cup
Kiwango.Hivi mbona ulaya kuna timu nyingi sana, kuliko mabara mengine?