Argemessi anasepa nalo
Yes dibanyavu mkuu hebu nipangie forward ya ArgentinaTunamuombea kila la heri Mkuu. Itapendeza mno ARGENTINA ikisepanalo...wengi wanasubiri maajabu yao kwa puttin..
KING MESSI
MAGICIAN DYBALA
Di maria
Aguero
Mauro Lcardi
Higuain
Barnega
Beneddeto
Augusto
Rojo
Otamendi
Maidana
Scocco
Mascherano
Angel correa
Gaitan
Ulaya ina kiwango kuliko amerika kusiniKiwango.
Yes. Sout America timu tishio ni mbili tu Argie na Brazil wengine wanaibuka na kupotea. Btw data zipo Fifa angalia huko utaona viwango.Ulaya ina kiwango kuliko amerika kusini
Yes dibanyavu mkuu hebu nipangie forward ya Argentina
Walikua wanaonyesha other channelskupitia channel namba ngapi
Messi lapulga kwa mara ya kwanza anaifanikisha timu yake ya taifa kubebe kombe la dunia 2018
Argemessi anasepa nalo
Hata WC iliopita Argentina had the best squad.......on paper.....Mwaka huu ni wetu mkuu PRINCE. Kocha awapange tu vizuri.....kama wachezaji tunao wazuri mno kulinganisha na timu zingine.
Russia akijitahidi sana round ya pili maana hata group stage ajipange.Warusi wameshangilia ukumbini kuona game ya kwanza na KSA.
Hata WC iliopita Argentina had the best squad.......on paper.....
Changamoto ni kugeuza kikosi kizuri kuwa timu nzuri.Kweli Mkuu PRONDO Ilikuwa na wachezaji wazuri mno. Tumuone Dybala na Lcardi na wao pia watakuwemo kikosini
Yaani WC hii ni Messi na Argentina tu na wataona moto wake, team ìpo vizuriMwaka huu ni wetu mkuu PRINCE. Kocha awapange tu vizuri.....kama wachezaji tunao wazuri mno kulinganisha na timu zingine.
Ww Uruguay alishapotea lini? Chile je? Colombia? Hivi mechi za kufuzu world cup unafananisha ushindani wa America kusini na ulaya? Ulaya ni pesa tu.Soka la ulaya linabebwa na uwepo wa mastaa wa America kusiniYes. Sout America timu tishio ni mbili tu Argie na Brazil wengine wanaibuka na kupotea. Btw data zipo Fifa angalia huko utaona viwango.
Euro Championship inaitwa World Cup without Brazil na Argentina...ukijua jibu utakuwa umenielewa.