2018 FIFA World Cup: Yaliyojiri upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia

2018 FIFA World Cup: Yaliyojiri upangaji wa makundi ya Kombe la Dunia

Argemessi anasepa nalo

Tunamuombea kila la heri Mkuu. Itapendeza mno ARGENTINA ikisepanalo...wengi wanasubiri maajabu yao kwa puttin..

KING MESSI
MAGICIAN DYBALA
Di maria
Aguero
Mauro Lcardi
Higuain
Barnega
Beneddeto
Augusto
Rojo
Otamendi
Maidana
Scocco
Mascherano
Angel correa
Gaitan
 
Warusi wameshangilia ukumbini kuona game ya kwanza na KSA.
 
Tunamuombea kila la heri Mkuu. Itapendeza mno ARGENTINA ikisepanalo...wengi wanasubiri maajabu yao kwa puttin..

KING MESSI
MAGICIAN DYBALA
Di maria
Aguero
Mauro Lcardi
Higuain
Barnega
Beneddeto
Augusto
Rojo
Otamendi
Maidana
Scocco
Mascherano
Angel correa
Gaitan
Yes dibanyavu mkuu hebu nipangie forward ya Argentina
 
Ulaya ina kiwango kuliko amerika kusini
Yes. Sout America timu tishio ni mbili tu Argie na Brazil wengine wanaibuka na kupotea. Btw data zipo Fifa angalia huko utaona viwango.
Euro Championship inaitwa World Cup without Brazil na Argentina...ukijua jibu utakuwa umenielewa.
 
Kweli Mkuu PRONDO Ilikuwa na wachezaji wazuri mno. Tumuone Dybala na Lcardi na wao pia watakuwemo kikosini
Changamoto ni kugeuza kikosi kizuri kuwa timu nzuri.
 
Bingwa atatoka kati ya hizi timu nne
Germany
England
Brazil
France
 
Mwaka huu ni wetu mkuu PRINCE. Kocha awapange tu vizuri.....kama wachezaji tunao wazuri mno kulinganisha na timu zingine.
Yaani WC hii ni Messi na Argentina tu na wataona moto wake, team ìpo vizuri
 
Cameron na ghana kumbe hazimo!?

Kama Italy! Dah, mimi naishabikia Colombia.

Maana africa imekumbwa na biashara ya utumwa, mpaka mitimu imepita ya maslave masters.
 
Yes. Sout America timu tishio ni mbili tu Argie na Brazil wengine wanaibuka na kupotea. Btw data zipo Fifa angalia huko utaona viwango.
Euro Championship inaitwa World Cup without Brazil na Argentina...ukijua jibu utakuwa umenielewa.
Ww Uruguay alishapotea lini? Chile je? Colombia? Hivi mechi za kufuzu world cup unafananisha ushindani wa America kusini na ulaya? Ulaya ni pesa tu.Soka la ulaya linabebwa na uwepo wa mastaa wa America kusini
 
Back
Top Bottom