Croatia?? You can't be seriousArgentina,france,germany,spain or croatia....moja wapo anaondoka na Puttin Cup
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Croatia?? You can't be seriousArgentina,france,germany,spain or croatia....moja wapo anaondoka na Puttin Cup
Croatia?? You can't be serious
Natumaini nchi za Afrca zitatolewa kwenye hatua za mwanzo kabisa....
Duu afadhali ata azamtv wanaonyesha maana draw tungeisikia tyu
Sijajua kwa nini spain mabingwa wa 2010 wawekwe pot no 2. Poland aakae pot no 1. Kama ni kumaliza mshindi wa kwanza kwenye kundi spain alimaliza wa kwanza juu ya Italia.
Kama ni fifa ranking sidhani kama poland atakuwa juu ya Spain. Kigezo gani kimetumika?
update zipo mkuuJamani huku nilipo Tanesco washafanya yao! Natamani nitukane..