Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
haya sasa jumuisha FDI in the last 5 to 10 years...sasa unanletea ya mwaka moja kwani una matatizo ya ubongo?? 2016 was a year when kenya was preparing for elections...everybody knows that approximately a year before elections investors stay away from Kenya...and remember in 2015 we beat you...so bring FDI for 10 years at leastHii google unagalia wewe ni ya kericho sio San Fransisco.
FDI - TanzaniaInvest
Foreign Direct Investment inflows to Kenya in 6-year low
And that is 2016 only, now you can count that all the way as far as 2010 or even 2005.
Unapoza muda bure, hata ukuenda miaka ya nyuma habari ni hiyo hiyo. Toka jana nakuambia pesa inayoletwa Tanzania kwenye FDI ni nyingine kuliko Kenya kwasababu projects zenyewe zina taka pesa nyingine, oil n gas, mineral, logistics etc. Ukisema eti elections imechangia huo sio ukweli, link ya kenya inasema kabisa the trend of downwards FDI in Kenya has been going for more than three years and Kenyatta needs to do something.haya sasa jumuisha FDI in the last 5 to 10 years...sasa unanletea ya mwaka moja kwani una matatizo ya ubongo?? 2016 was a year when kenya was preparing for elections...everybody knows that approximately a year before elections investors stay away from Kenya...and remember in 2015 we beat you...so bring FDI for 10 years at least
porojoUnapoza muda bure, hata ukuenda miaka ya nyuma habari ni hiyo hiyo. Toka jana nakuambia pesa inayoletwa Tanzania kwenye FDI ni nyingine kuliko Kenya kwasababu projects zenyewe zina taka pesa nyingine, oil n gas, mineral, logistics etc. Ukisema eti elections imechangia huo sio ukweli, link ya kenya inasema kabisa the trend of downwards FDI in Kenya has been going for more than three years and Kenyatta needs to do something.
Haha, duh kazi ipo [emoji23] [emoji23] [emoji23]porojo
ultaka niamini maneno ya mkaazi wa ldc...haha my friend FDI sahau nakwambia tena..data zipoHaha, duh kazi ipo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You must expose a snake in order to kill it, in Kenya the challenges are open and in the public domain due to relative media freedom and some objectivity. I need you to look at Kenya's challenges and observe what the country is doing to establish solutions., devt countries rose from challenges and problems, which informed their policies and decision making., IPhone 2 is a product of insufficiencies in IPhone 1 and developing needs in technology. This is not the quite case with TZ, because CCM govt paints a rossy picture of the country and yet if you take a trip from Isibania border towards Dar ni balaa! apart from satellite towns, whose outskirts are poor!!Leave away the main lack of nature capital in majority of Kenyans but you have the other mega tragedy which will take you the world to end it
There is no denial that there is a great divide between the poor and the rich in Kenya than the rest of the region but the other topping reason behind the high level of poverty and exclusive well-being within the average community is the high rate of corruption
The fact that poor leadership that has not only failed to unit the country but has in some instances threatened to tear it apart for the personal gains thanks to JPM for ending and making this the history in Tanzania but you have a long way to go so far.
Sawa kama hewa ni data, basi na mimi naamini zipo [emoji23]ultaka niamini maneno ya mkaazi wa ldc...haha my friend FDI sahau nakwambia tena..data zipo
sawa kilaza😀😀😀...Sawa kama hewa ni data, basi na mimi naamini zipo [emoji23]
Haha, povu lote hili.
Tatizo lenu hamjuwi FDI ya Tanzania inakwemda. Most of the project in Tanzania are capital intensive like gas, mining, geological survey and so on. Iron ore and coal pekeyake imechukuwa $2 bln so far, gas imechukuwa zaidi ya $6bln with $30bln needed Kukamilisha Haujaenda kwenye migodi, uranium, helium, soda ash etc etc. Kenya mtu akifungua kibada cha kuku tuu, FDI really?
kiswahili cha Tanzania waache watanzania wenyewe, kama biblia ya kwanza ya kiswahili iliandikwa Tanzania, na wakenya wanaitumua mpaka leo, basi hauna haja wala uwezo wa kuhoji kiswahili cha Tanzania.Kama waweza kuandika neno 'Hamjuwi' peke yake then I don't need to read the rest of the sentence. That alone informs me how much matter is in between your ears.
If GDP does not reflects well on social services delivery in the country that is totally meaningless to me,
IMF sio chombo cha kuamini Sana, kimekua hapa Africa miaka kibao kinaelekeza jinsi ya kukuza uchumi lakini wapi... Wakiona unafanya vizuri wanakuletea Data za uongo ili usifanye vizuri.. Example Malaysia, China hizi nchi zilitupilia mbali ujinga wa IMF wakafanya Kama wao mataifa makubwa walivyofanya angalia walipo sasa..Hili nimewaambia Watanzania mara nyingi japo huwa wanabishishia hadi povu, kwamba utawala wa Kikwete uliwapa uamsho fulani huko kwao na kipindi hicho ukuaji wao ulikwenda kwa kasi, utawala wa sasa unalea majungu tu, hamna kipya zaidi ya shtukiza shtukiza na mikwara.
Hebu ona sasa takwimu zipo wazi tena kutoka kwa taasisi muhimu duniani.
Look at this uneducated idiot, GDP per capita is a measure of mean value (math).nyambaff tunazungumzia GDP per capita ngombei...do u have a brain??
I slightly concur with you with regarding of those countries you put as your case study. Yeah, GDP is economical aspect of production values which means if you have big one, your people are generally well off but in other side it can be an illusion. Mind you GDP is just a total entity, it does not tell us clearly production value of each individual, so you may brag to have big GDP but very few people contribute to it in large percentage while the rest majority share it in minimal amount, therefore realistically only few ones in the country will live comfortably.And this is what we see in most developing countries embracing capitalist system, for instance Nigeria has a finer number of billionaires than some of first world countries but it is the same Nigeria whose more than 75% of citizens struggling to afford three meals per day, an average nigerian wakes up daily tries by any means to leave Nigeria for seeking better life somewhere else and they have biggest GDP in the continent!!it is not meaningless...countries with bigger GDPs tend to have richer and more comfortable people..look at America, Australia, France, germany and the UK...with the exception of China, which also has a high GDP, the other countries are very prosperous...
IFM na hata WB wanatoa taarifa zinazohusu nchi za kiafrika huwa wanatembelea kwenye assumption tu, sio wa kuamini hata kidogoIMF sio chombo cha kuamini Sana, kimekua hapa Africa miaka kibao kinaelekeza jinsi ya kukuza uchumi lakini wapi... Wakiona unafanya vizuri wanakuletea Data za uongo ili usifanye vizuri.. Example Malaysia, China hizi nchi zilitupilia mbali ujinga wa IMF wakafanya Kama wao mataifa makubwa walivyofanya angalia walipo sasa..
Kama Jeff Bezos akiwa mtanzania leo manake uchumi wa Tanzania utakuwa mkubwa kuliko wa Kenya na per capita itakuwa kubwa kuliko hata ya Msouth.now this is an important factor...inclusivity...but dont forget about GDP per capita as well...it is not accurate but it gives a picture of how rich a country is
Kama Jeff Bezos akiwa mtanzania leo manake uchumi wa Tanzania utakuwa mkubwa kuliko wa Kenya na per capita itakuwa kubwa kuliko hata ya Msouth.
Ila ukweli ni kwamba asilimia kubwa ni masikini.
Per capita sio kigezo halisi cha kupima utajiri wa nchi husika na watu wake.
The reason Tanzanians are cheap is because they have no skills. Once they get the skills they become just as expensive as the Kenyans. Nini huelewi boss?Even in those high tech industrial, once they realise they can employ Tanzanian engineer or Rwandan or Ethiopian for half the wages they pay in Kenya, they will run. Why do you think India is taking all back offices in the world? Cheap wages, cheap cost of living.
If Jeff Bezzos becomes Tanzanian the economy of Tanzania will still be way smaller than Kenya's. Nyie watu ni kusoma hamjasoma ama nini maana hakuna anayeelewa tofauti ya Net worth na GDP.Kama Jeff Bezos akiwa mtanzania leo manake uchumi wa Tanzania utakuwa mkubwa kuliko wa Kenya na per capita itakuwa kubwa kuliko hata ya Msouth.
Ila ukweli ni kwamba asilimia kubwa ni masikini.
Per capita sio kigezo halisi cha kupima utajiri wa nchi husika na watu wake.