Usikimbilie kuweka comment tu kabla ya kusoma unachotaka kukiweka.
GDP ili fail ndipo wakaja na HDI na yenyewe ime-prove failure
HDI launched by Pakistani economist Mahbub ul Haq in 1990.
Best approach kwa sasa ni IDI. Ndiyo maana ninakueleza bado upo nyuma sana na dunia.
Ninajaribu kukupa mwanga. Hapo juu nimekuwekea ni namuna gani HDI inapimwa. Halafu unakuja kurudia hicho hicho nilichokiweka. Maana yake husomi unajifurahisha tu humu. Ni vizuri kusoma kisha uje na analytical comment.
Je, Unajua tofauti ya GDP, HDI ma IDI?