2018 -Kenyan economy now larger than Tanzania and Uganda combined

Wewe niko very very busy so sitaweza kukujibu kwa sasa lakini nikipata nafasi nitakujibu. Uko very wrong my brother
 
Umeandika ki shabiki sanaaa!
Nadhan unatetea nchi yako!
Bongo itaendelea kuwa baba wa EAC!

Nyie endeleeni kulumbana+wadada zenu kugeuzwa wake ughaibuni!
Bongo tunatusua bila kwenda njee


Mchawi Mkuu

Tusijifurahishe mzee,hawa jamaa wametupita,na si padogo...hii kelele tunayojipigia humu bila udhibitisho ni ajabu sana.

Kidemokrasia,Kiuchumi,Kijamii,wametupita,kazi yetu ni kujitahidi tuwapite,hizi tararira za kubishana na ukweli ni ukichaa!
 

Mkuu

Tukiacha mambo ya namba,ambayo ndio hua wasomi mnazing'ang'ania..mkuu tembelea Kenya na sio Kenya Nairobi tu,Kenya yote,then uje na majibu hapa!

Mkuu,wamepiga hatua,hilo si uongo,nashangaa sana pale tunapokua na unazi mpaka wa kukataa facts.Jamaa wapo tofauti.

Na katiba yao imeleta mabadiliko makubwa mno..Institutions zao zinafanya kazi walao. Bongo?Jesus Christ....Hebu sometimes tukubali tulipozidiwa tujipange kwa kazi na maarifa tuwapite na sisi....Na kwa huyu Uchwara wetu,aisee tuache miaka 10 ipite walao ndio tupange kitu!
 

Kenya nimeshakaa sana na hata kusoma nimesoma miaka minne. Kila nchi ina strengths zake na weaknesses zake. Huwezi ukalinganisha katiba ya Kenya ya juzi juzi tu (2010 i think) na mkatiba wa 1977.
We need a new constitution inayoendana na current realities hilo sijakataa.
Lakini mambo mengine yooooote naona tuko level sawa. Kuna vitu tunavyo wao hawana na wao wana vitu flani ambavyo sisi hatuna.
 


Mkuu

Mi natoka mpakani na wao kabisa kwa upande wa uchagani pale...Mkuu,najua wametuzidi kila sector mkuu,just mention it.Elimu juu,Utalii juu,Viwanda juu,Miundomibunu juu,Matibabu juu,Sports juu,aisee uta-mention nini hawajatupita?Labda usemee Kilimo,Ufugaji,nk maana wana ardhi chache yenye ubora,na hiyo pia nina doubt sana.

Kielimu mkuu wametupita pabaya sana and You know this.

Katiba tu mkuu,wale jamaa walivyoipata,nawavulia kofia.Kwa hulka yetu Wabongo,sidhani in the coming 20years kama tutaweza ipata.Na kumbuka Kenya haitakua ime-stop,itakua inasonga vibaya.

Yaani kila siku ninawaza jinsi ya kufanya tuwapite hawa watu,ila naona kwa CCM hii,naishiwa matumaini kabisa.....
 
Wewe unazungumzia Tanzania ya enzi zile.
Elimu kuna vitu tumewazidi. Wewe tatizo kipimo chako cha elimu ni mtu kujua English. Pia kwenye miundombinu. Utalii ndio usiseme.
 
Wewe unazungumzia Tanzania ya enzi zile.
Elimu kuna vitu tumewazidi. Wewe tatizo kipimo chako cha elimu ni mtu kujua English. Pia kwenye miundombinu. Utalii ndio usiseme.


Mkuu,tuseme hata alichokisema Mkapa juzi ni kua hajui?

Mkuu,kuhusu takwimu za Utalii,no need to debate kuhusu hili!Yaani hata vitanda vya mahoteli tu,Kenya ni mara 5 ya hoteli zote Bongo.

TZ ya sasa hivi nyanja nyingi we are doing even worse..Hiyo ni kweli.
 
Wewe huku umepotea njia, huku sio mahala pa siasa.


Nani kakwambia unaweza ongelea uchumi bila siasa?

Unajua maana ya "Siasa" na "Uchumi"...ili zifanye kazi inatakiwa kitu kinaitwa "Siasa-Uchumi"!

Sasa wewe ruka ruka
 
Milio haitakusaidia chochote

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Waambie kaka zako ukweli... Umefika Kenya sehemu gani???
 
Just SHUT UP!!!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…