2018 -Kenyan economy now larger than Tanzania and Uganda combined

2018 -Kenyan economy now larger than Tanzania and Uganda combined

Attachments

  • Screenshot_20181004-134510.png
    Screenshot_20181004-134510.png
    26.6 KB · Views: 21
Alafu mijitu ya Ldc inataka kujilinganisha na sisi, wabishi wa kenya ni kina africa kusini na Egypt😀😀😀😀😀 Mibongo aibu tupu.
which sector has larger contribution to your GDP?
 
Wakenya kelele nyingi lakini cha maana mnachosema hakuna, economy iliyojaa madeni ni kama kukalia tawi bovu. Hesabu yote iko hapo chini ndio maana mnaona Kenya with all cosmetic GDP lakini bado wanasaga lami kama Waafrika wengine. Waziri wa fedha Kenya amewaambia mkae tayari kwa kodi kupanda juu kuanzia July 2018 kutokana na masharti waliopewa na IMF. Meanwhile JPM jana anawaambia TRA wapunguze na kurekebisha kodi.

Kenya: $75bln GDP - 60% debt = $30bln

Tanzania: $51bln GDP - 39% debt = $31.11bln
Minus that debt to your gdp?., mko pabaya!!!
 
Just SHUT UP!!!"
Jamaa anajuaibisha!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , haoni deni ya Tz ukipima kwa uchumi wao ni below 30, its in twenties![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] enyewe ufala si ugonjwa!
 
Minus that debt to your gdp?., mko pabaya!!!

Hawa bongolala ni wajinga sana.
How can someone subtract debt from GDP? That would mean countries with over 100% debt to GDP ratio have negative GDPs.

USA
GDP - $18.5 Trillion
Debt - $21.5 Trillion
 
Nchi ina raslimali nyingi na ardhi yenye rutuba inaweza shindwa aje na nchi kama Kenya?
Kweli uzembe ni ugonjwa.
La kushangaza ni kwamba hauna tiba.
Lakini una suluhisho kuTIA BIDII
 
Mkuu

Tukiacha mambo ya namba,ambayo ndio hua wasomi mnazing'ang'ania..mkuu tembelea Kenya na sio Kenya Nairobi tu,Kenya yote,then uje na majibu hapa!

Mkuu,wamepiga hatua,hilo si uongo,nashangaa sana pale tunapokua na unazi mpaka wa kukataa facts.Jamaa wapo tofauti.

Na katiba yao imeleta mabadiliko makubwa mno..Institutions zao zinafanya kazi walao. Bongo?Jesus Christ....Hebu sometimes tukubali tulipozidiwa tujipange kwa kazi na maarifa tuwapite na sisi....Na kwa huyu Uchwara wetu,aisee tuache miaka 10 ipite walao ndio tupange kitu!
Mabishano humu ni ya kujaza tu thread but ukweli wako juu ukitaka kujua hilo tunajifunza na kuiga vitu kutoka kwao na ndio investor wakubwa bongo ukiingia ile wanaita kilimo biashara tunajifunza kwao.Hata picha tu za miji yao zinaonesha utofauti japo geza ichoboy and co.hawawez kubali kama fisiemu ambavyo huwa hawakubali ukweli kujirekebisha.Kwa maccm ni bora watumie pesa ya umma kununua wapinzani na kutumia mabilion kurudia uchaguz wanaojitangaza washindi inasikitisha sana but ndo hivyo tupambane na hali yetu
 
Nchi ina raslimali nyingi na ardhi yenye rutuba inaweza shindwa aje na nchi kama Kenya?
Kweli uzembe ni ugonjwa.
La kushangaza ni kwamba hauna tiba.
Lakini una suluhisho kuTIA BIDII
Nchi yetu kupiga hatua labda mungu ashushe gharika ndani ya ccm,juz kati hapa kulikuja orodha ya kesi tulizoshindwa ili tulipe wakati hao hao ccm walitahadharishwa wakaishia kudungua watu risasi
Hao hao ccm walipewa hadhari kuhusu sheria za madini na gesi lakini wakatia watu ndani na kupitisha sheria kwa hati ya dharura afu rais wao anakuja anasema gas ni ya mabeberu inatia hasira.
Ukitaka uishi kwa aman bongo usifuatilie siasa na vile nchi imejaa wajinga ndo basi tena
 
Swahili ya mombasa
 
Back
Top Bottom