Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Just SHUT UP!!!"
Oops, ....sorry for busting your bubble. haha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just SHUT UP!!!"
As at 2014you mean GMP (Gross Metropolitan Product) ???........please provide me with a link proving your claim
Kenya's current GDP is at 88 billion dollarsKenya GDP -78.4 billion USD
Tanzania GDP-51.6 billion USD
Uganda GDP-26.4 billion USD
Projections have it that by 2020 the kenyan economy will be larger than the rest of the EAC combined
World GDP Ranking 2017 | GDP by country | Data and Charts - knoema.com
which sector has larger contribution to your GDP?Alafu mijitu ya Ldc inataka kujilinganisha na sisi, wabishi wa kenya ni kina africa kusini na Egypt😀😀😀😀😀 Mibongo aibu tupu.
Minus that debt to your gdp?., mko pabaya!!!Wakenya kelele nyingi lakini cha maana mnachosema hakuna, economy iliyojaa madeni ni kama kukalia tawi bovu. Hesabu yote iko hapo chini ndio maana mnaona Kenya with all cosmetic GDP lakini bado wanasaga lami kama Waafrika wengine. Waziri wa fedha Kenya amewaambia mkae tayari kwa kodi kupanda juu kuanzia July 2018 kutokana na masharti waliopewa na IMF. Meanwhile JPM jana anawaambia TRA wapunguze na kurekebisha kodi.
Kenya: $75bln GDP - 60% debt = $30bln
Tanzania: $51bln GDP - 39% debt = $31.11bln
Jamaa anajuaibisha!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , haoni deni ya Tz ukipima kwa uchumi wao ni below 30, its in twenties![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] enyewe ufala si ugonjwa!Just SHUT UP!!!"
Minus that debt to your gdp?., mko pabaya!!!
Minus that debt to your gdp?., mko pabaya!!!
Kwani zimeshaisha?Nchi ina raslimali nyingi na ardhi yenye rutuba inaweza shindwa aje na nchi kama Kenya?
Kweli uzembe ni ugonjwa.
La kushangaza ni kwamba hauna tiba.
Lakini una suluhisho kuTIA BIDII
Mabishano humu ni ya kujaza tu thread but ukweli wako juu ukitaka kujua hilo tunajifunza na kuiga vitu kutoka kwao na ndio investor wakubwa bongo ukiingia ile wanaita kilimo biashara tunajifunza kwao.Hata picha tu za miji yao zinaonesha utofauti japo geza ichoboy and co.hawawez kubali kama fisiemu ambavyo huwa hawakubali ukweli kujirekebisha.Kwa maccm ni bora watumie pesa ya umma kununua wapinzani na kutumia mabilion kurudia uchaguz wanaojitangaza washindi inasikitisha sana but ndo hivyo tupambane na hali yetuMkuu
Tukiacha mambo ya namba,ambayo ndio hua wasomi mnazing'ang'ania..mkuu tembelea Kenya na sio Kenya Nairobi tu,Kenya yote,then uje na majibu hapa!
Mkuu,wamepiga hatua,hilo si uongo,nashangaa sana pale tunapokua na unazi mpaka wa kukataa facts.Jamaa wapo tofauti.
Na katiba yao imeleta mabadiliko makubwa mno..Institutions zao zinafanya kazi walao. Bongo?Jesus Christ....Hebu sometimes tukubali tulipozidiwa tujipange kwa kazi na maarifa tuwapite na sisi....Na kwa huyu Uchwara wetu,aisee tuache miaka 10 ipite walao ndio tupange kitu!
Nchi yetu kupiga hatua labda mungu ashushe gharika ndani ya ccm,juz kati hapa kulikuja orodha ya kesi tulizoshindwa ili tulipe wakati hao hao ccm walitahadharishwa wakaishia kudungua watu risasiNchi ina raslimali nyingi na ardhi yenye rutuba inaweza shindwa aje na nchi kama Kenya?
Kweli uzembe ni ugonjwa.
La kushangaza ni kwamba hauna tiba.
Lakini una suluhisho kuTIA BIDII
Swahili ya mombasaNchi yetu kupiga hatua labda mungu ashushe gharika ndani ya ccm,juz kati hapa kulikuja orodha ya kesi tulizoshindwa ili tulipe wakati hao hao ccm walitahadharishwa wakaishia kudungua watu risasi
Hao hao ccm walipewa hadhari kuhusu sheria za madini na gesi lakini wakatia watu ndani na kupitisha sheria kwa hati ya dharura afu rais wao anakuja anasema gas ni ya mabeberu inatia hasira.
Ukitaka uishi kwa aman bongo usifuatilie siasa na vile nchi imejaa wajinga ndo basi tena