Duh! Yaani Uingereza na 'vuvuzela' wake wote imepigwa chini? Kweli Russia wakali! Nadhani huu utakuwa ni uteuzi wa haki maana mzee wa Judo Putin alikuwa atie timu Zurich kupiga debe lakini baadae akasema asingekwenda maana FIFA waliishaamua na aende ama asiende isingeweza kubadili uamuzi wao! Russia?? Yatafanikiwa kweli?