BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
Waingereza watazaaaa na FIFA. kuna kipindi nasikia walitoa kinaonyesha list ya wachakachuajia na wala rushwa ndani ya fifa . Yumo na Issa ahayotou wa africa
Kilikuwa ni Panorama cha BBC. Jamaa Walikandia sana hasa kuhusu mbantu Issa Hayatou. Nadhani jibu la FIFA kuhusu madai yao wamelipata barabara za uso!!