Waingereza watazaaaa na FIFA. kuna kipindi nasikia walitoa kinaonyesha list ya wachakachuajia na wala rushwa ndani ya fifa . Yumo na Issa ahayotou wa africa
Qatar walishasema wataweka ac viwanja vyote, ni kweli kuna joto sana
Disappointed! Nilitaka sana 2018 iwe England.....!
nikweli Qatar walisema wataweka viyoyozi viwanja vyote vitakavyochezewa mechi za world cup 2022 na uwezo huo wanao,matajirisana hawa mkuu ni PETRO DOLA hao,sijui huko rusia itakuwaje au nawao wataweka hiter machine viwanjani mana kuna barid sio mchezo,ni theluji la nguvu,hongera rusia,hongera Qatar.
Mambo ni teknolojia tu hapo Qatar...wanatime ya kufanya mazingaombwe!!!!
Bid ya england kibepari ilikuwa inalipa zaidDisappointed! Nilitaka sana 2018 iwe England.....!
Mambo ni teknolojia tu hapo Qatar...wanatime ya kufanya mazingaombwe!!!!
Abuu hizo ni models au ni picha halisi?