2018 (Russia) & 2022 (Qatar) World Cup Draw in Zurich

FIFA wanapeleka kombe kwa wale wanaotoa mshiko mwingi zaidi lol, hiyo timu ya taifa ya Qatar ata kuqualify kwenye kombe la dunia haijawahi, hawana historia ya soka kivile Msije kushangaa siku fainali za kombe la dunia zikapelekwa Papua New Guinea.
Kipindi hiki ndio kizuri cha wachezaji soka kuchukua uraia wa Qatar.
 


An emotional Qatar bid chief Sheikh bin Hamad al-Thani is consolled by his mother as he struggles to deal with the news about his country's bid.







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…