2018 superlady''WANAWAKE WA NGUVU''

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Habari wanajukwaa''
Ni muda sana sijapost kwenye jukwaa hili lakini naombeni leo,
Mimi pia nipate nafasi ya kuwapongeza wanajamiiforums hawa ambao kiukweli wako juu.
Kuanzia majibu yao mpaka vision zao kwa mujibu wa maandiko yao ninayoyaona humu jukwaani.

Kwanini sio kwa wanaume?

jinsia ya kiume ina mchango mkubwa sana hilo lajulikana wazi tofauti na jinsia ya kike ambao wengi wao wanajadili majungu,mapenzi na vitu visivyo na umuhimu tena kwa point zisizo na maana ila kuna baadhi ni tofauti.

Kwa lugha za kibongofleva naweza kuwaita malkia wa nguvu, ila kiufupi nawapongeza sana kwa mitazamo yao.
Najua wapo wengi wenye mitazamo sahili ya maisha ila ama wameamua kuificha au mimi sijawatambua nanyi hongereni sana popote mlipo.
,kama kuna mwanaume unayehitaji mwanamke wa kuoa ukampata yeyote kati ya hawa ntakaowaorodhesha oa haraka mi ntachangia harusi ila hatakuangusha huyu na ndoa yenu itakuwa na mafanikio makubwa.
Pia kwa wale wenzangu na mimi ambao muda wote tunawaza noti tunazipataje ukimpata mwanamke kama huyo hebu achana na mambo ya kupetipeti!!.. Weka idea mezani hawezi kukuangusha..
Najua wadau wengi wa jukwaa hili hampendi kusoma maneno meeeengi wacha niishie hapa niwashushe wahusika hapa..

King'asti
chinchila coat
Sky Eclat
miss zomboko
Thad
Avriel
Zainab Tamim
Rebeca 83
farkhina
Zurie
ladyfurahia
Heaven Sent

MKO JUU WATU WANGU.

Mi kwenye orodha yangu wapo hao Najua kuna watu mlitarajia wawepo ila hawawezi kuwepo sababu sifa ya maneno mengi na ucheshi sio Moja kati ya vigezo nilivyotumia.
WEWE PIA TAJA SUPERLADY WAKO KWA MWAKA 2018
 

Kwa ninao wafahamu hapo wote ni wake za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…