2018 superlady''WANAWAKE WA NGUVU''

Hivi kwanini asilimia kubwa ya wanaokuwaga appreciated kwa michango yao ni wanawake tu?

Ina maana jinsia ME ina mchango mdogo sana hapa JF, au haina mchango kabisa?
 
Hivi kwanini asilimia kubwa ya wanaokuwaga appreciated kwa michango yao ni wanawake tu?

Ina maana jinsia ME ina mchango mdogo sana hapa JF, au haina mchango kabisa?
jinsia me ina mchango mkubwa sana hilo lajulikana wazi tofauti na jinsia ya kike ambao wengi wao wanajadili majungu,mapenzi na vitu visivyo na umuhimu tena kwa point zisizo na maana hivyo wale wachache wenye vision za msingi na kimaendeleo lazima tuwasifie mkuu
 
Kukosekana kwa cariha kwenye list yako kunaipa walakini hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…